GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,160
Acha fitna mkuuWewe ni Bashite mwingine, alafu nyie watoto wa Lumumba FC mnafikiri ni rahisi kiasi hicho nchi kuongozwa na mtu ambae hata kuandika huwezi?
Angewatoa na wanasiasa waliopata kura za kununuaMheshimiwa Rais wangu, kiukweli mi naona pale unapo toa tamko fulani kuhusu serikali, viongozi wako wanafata kile ulicho sisitizia. Mfano, uliosema stand huko igunga itumike, tayari imeanza kutumika. Uliposema, watumishi hewa watolewe, kila kiongozi alitekeleza agizo hilo. Vile vile, bila kusahau la serikali kuhamia dodoma, baadhi ya wizara walikaa vikao ili wahamie dodoma hata kabla ya hiyo miaka minne uliyo sema. Sasa Mheshimiwa, naomba pia utamke kuhusu watumishi wanao tumia vyeti feki na digriii za kununua makazini, pia wamechangia kufikisha nchi ilipo kuwa imefikia.
Si unaona walio na vyeti feki wameondokaAngewatoa na wanasiasa waliopata kura za kununua
Wakosoaji wa Raisi ktk hili ni wezi na maharamia WALIOHONGWA NA MAKAMPUNI HAYA KWA PESA NYINGI. Watu kama akina ZTO. Ni watu wanaoimba na kuanzisha vyama vya uzalendo kumbe kinyume chake ni kutumia vyama hivyo kupiga dili.Aibu sana kwa wasomi wa nchi hii.Uzalendo hakuna.Ndugu wanajukwaa. Ninayo heshima kwenu kuanzisha uzi huu maalum kwa ajili ya kumshauri Rais na wasaidizi wake kuhusu namna bora ya kufanya ili kulinda rasilimali za taifa ziweze kulinufaisha taifa. KWA KUANZIA TUTAZAME HILI LA MCHANGA WA MADINI NA MATOKEO YA TAARIFA YA KAMATI ILIYOUNDWA NA RAIS. NAAMINI RAIS ANA LENGO ZURI SANA KUHAKIKISHA RASILIMALI ZETU ZINALINUFAISHA TAIFA. HUENDA KILA MTU ANA JAMBO LA KUTAKA KUSEMA LAKINI HANA NAMNA BORA YA KUSIKIKA AU HANA MAHALI PA KUSEMEA KAMA NILIVYO MIMI . TUITUMIE JF KUMFIKIA RAIS. WALE WAKOSOAJI NI VYEMA WAUONE MOYO WA RAIS JINSI ALIVYO NA INTEGRITY YA HALI YA JUU NA LENGO LAKE NI UTAIFA KWANZA. TANZANIA KWANZA. MODS WA JF WASIUNGANISHE UZI HUU TAFADHALI
hii imetosha kupata picha ya uhaini tunaofanyiwaTusubiri report ya tume ya pili
lipi na uhuni ni upiJambo zuri linafanywa kihuni!!!
Wakosoaji wa Raisi ktk hili ni wezi na maharamia WALIOHONGWA NA MAKAMPUNI HAYA KWA PESA NYINGI. Watu kama akina ZTO. Ni watu wanaoimba na kuanzisha vyama vya uzalendo kumbe kinyume chake ni kutumia vyama hivyo kupiga dili.Aibu sana kwa wasomi wa nchi hii.Uzalendo hakuna.