Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kwani kiingereza ni nini mbona wachina hawakijui na ni tishio duniani? Tunadumaza akili zetu kwa kuziongezea mizigo bure. Sawa tusome tukifahamu lakini siyo lazima kukitumia kila mara unapotaka kuwakilisha mawazo yako ya kina. Vikwazo vya lugha visimaanishe eti hatuna watu vichwa kuliko wazungu.

kinachosemwa hapa lugha ya kiingereza ni medium for learning kutoka form 1 had I chuo...so kama kinampiga chenga kama mimi ujue educational system ni mbovu au ni creamer hatareee
 
Huyu muhongo hapana! Hafai kwa maana anahusika kwa namna moja ama nyingine na sakata la escrow! Kitendo cha kuwa na mashaka tu na mtu kuwa ni mwizi wa pesa ni sababu tosha ya kumpiga chini! Nashauri ndugu magufuli usirogwe kumpa huyu bwana! Hutakuwa na jipya! Na CCM itakua ni ile ile
 
Hata huko Uingereza, Ulaya na Marekani anatumia tu kiswahili akina Obama na Cameroun watatafsiriwa. Mbona viongozi wa china wanakwenda huko na wanatumia kichina na kuelewana bila shida.
Msifananishe China na Tanzania kwa kigezo cha lugha wachina wanajiweza sisi walala hoi tu
 
Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na Zanzibar.
Mulugoooooooo........
 
Jamani tuweke akiba ya maneno hapo.
Mimi ninachokiona kila mtu ni mtendaji mzuri akisimaniwa vizuri.
Kwa kuwa tumempata msimamizi mzuri basi atakayeteuliwa kuwa waziri ajue sio zama zile za kujisimamia ila atasimamiwa na kupimwa kazi zake na bosi wake ambae ndie rais wa JMT.
Kubwa zaid rais kasema wazi km mtu anajiona hawez kuendana na kasi basi aseme mapema.
Tusipuge kampeni humu fulani hafai fulani anafaa huu ni unafiki ambao rais hataki kuusikia

I concur. RAISI aanze yeye kwanza kuwa bora, wengine watanyoosha njia.
 
Nenda mpaka geti kuu; piga hodi ukifunguliwa tu;

speed 120 kama za edo ; mpaka chumba no 10; ukipiga kelele;

''nataka kuonana na raisi x 188886'' lazima atoke nje ' ili muonane
 
Huyu muhongo hapana! Hafai kwa maana anahusika kwa namna moja ama nyingine na sakata la escrow! Kitendo cha kuwa na mashaka tu na mtu kuwa ni mwizi wa pesa ni sababu tosha ya kumpiga chini! Nashauri ndugu magufuli usirogwe kumpa huyu bwana! Hutakuwa na jipya! Na CCM itakua ni ile ile

Acha kujitoa akili mhusika mkuu wa ESCROW haihitaji degree kumjua. aliitetea bila haya na TIBAIJUKA akamkejeli hawezi jiuzuru kwani hata huyo mhusika mkuu atashanga.
MUHONGO NI PERFECT MINISTER.
 
hawa ghasia sjui alikuwa anafanya nini hasa ofisini kwake.

maghembe ni janga hastahili kabisa uwaziri

Hawa Ghasia alukuwa madarakani kwa mbeleko ya shemeji, sasa shemeji ndo kisharudi Msoga kulima nanasi.
 
Kama huzijui piga kimya! Hivi kuna kampeni inapigwa ya kumfanya sospeter muhongo kuwa waziri mkuu! Jamii forums is no longer safe to speak up! Better hide my voice! Too risky! Lots of bitch niggas hunters in here!
 
Umesahau na Bandari ya Bagamoyo,mikataba ilisha sainiwa tayari.Ujenzi unaanza mda si mrefu.Wachina wataisimamia kwa miaka 50,ndio tukabidhiwe.
 
Haya Sasa maajabu mungu huwa hatoi vitu nusunusu jipange tena
 
Naunga mkono 100% nakolezea kwa kawambwa katushushia xn hadhi y Elim yetu et BRN,,
 
Muhongo, Mwakyembe, Lukuvi na Mwigulu wanafaa.[/
Hivi Mwakyembe kuna anachojua kwenye siasa za Tanzania zaidi ya Richmond? Mwambieni Mwigulu akafute uchafu alioandika kwenye madaraja na magofu nchi nzima.
 
Nashukuru sana mtoa mada.
Sikupi like lkn hoja ni nzuri hata mimi huyu mama nimemuona yupo vizuri.
Aidha agombee uspika au ateuliwe ubunge vyovyote vile ni sawa.
Hizi ndizo hazina tunazotakiwa kutumia wakat huu tunaouita wa mabadiliko.
Kwangu mm nilimuona tangu alipokuwa akinadi ilani ya act pale mbagala.
Pia alipokubali kushindwa na kuungana na watanzania ktk shughuli za tume NEC
Vile kwa kuwepo kwake u/taifa anaonesha hana chuki na mtu na hizo ndio siasa za Tanzania
Huyu mama mm namkubali na namwamini hata uspika anauweza
 
Hahaha sawa nimekusoma, siwezi kubishana kwa kitu kama hicho, kama unadhani baraza la mawaziri linapatikana kutokana na michango ya jf basi baki na mawazo yako.

Basi hawez kuteuliwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom