Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mkuu usipoteze muda wako na hawa watu wasiokua na hoja. Wameshaelezwa mara 1000 hawataki kuelewa kwa makusudi tu. Kwasbbu wakifanya hivyo watakosa hoja. Kwahiyo inabidi washikilie hapo hapo.
 
Acrual accounting tupa kule...
 

Mzee wa Strength in Number Mag3 una madini adhimu sana. Vyoint vyote 10 ni Almasi kama si dhahabu iliyochanganywa na Tanzanite.
 
Hatimae maombi yangu yamefanyiwa kazi,mungu awabariki wateuliwa
 
Hatimae maombi yangu yamefanyiwa kazi,mungu awabariki wateuliwa
😀😀😀, ukiweka bango la kuwatabiria watu mbona utakula vichwa cutelove! Kutabira mtu mmoja laki mbili mi ntakua cashier wako😎😎😎, maana si kwakulenga huku aisee, japo wewe ulikua namaana fulani ya kifasihi
 
Ikitokea umepigiwa simu na mh Rais jpm uende ikulu mkafanye mazungumzo,baada ya maongezi yenu yale aliyokuitia kuisha anakupa fursa na wewe uongee ya kwako ambayo ulikuwa unafikiri kuwa siku ukipata nafasi ya kukutana na mh Rais ungemwambia.je ungemwambia mambo gani
 
Jambo ulilofanya la kutaka kutoa uhai wa binadam mwenzako lissu sbu jeshi lako sio la kibinadam unastahili kufa jiwe maana ulidhamiria
 
Binafsi ningeongelea suala la ajira, Boss atoe ajira kama ilivyokua zamani....
Iwe mwalimu,Afya, wahandisi , wahasibu ...yeye atoe ajira tuu
Siku hizi hata watu wa Engineering hali ni mbaya
 
Ningemkumbusha juu ya katiba mpya na hata kuiheshimu hii aliyoapa kuitunza na kuilinda lakini si kuitekeleza!
 
Sera ya uchumi abadili pesa za wizara zirudi mabenki,kodi zisizo rafiki apunguze,haki na stahiki za watumishi azingatie na ajira atoe mara kwa mara nadhan ningemwambia hayo kwa upande wangu.
 
Ningemwambia anipe uwaziri mambo ya ndani,nirekebishe mambo....
 
Nashukuru nimefuta nilichokua nimetyp, nisingemalza dk tatu jf, Mods futen huu uzi tunataftiana ban,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…