Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hakuna anayemchukia bali tunampenda sana kwa sababu anatimiza ahadi zake za maendeleo. Darasa la tatu hilo katika Tanzania ya Magufuli. Maendeleo hayana chama. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
View attachment 1018043

Mkurugenzi eh!!!lakini mnaweza kuzaa watoto mpaka 14,ila tofali za vyumba vya madarasa mpaka magu akose usingizi!!!
 

Unaona sasa wewe,akisoma hapa unawaponza waalimu watarajiwa miaka mingine 7 bila ajira.
 
Hivi baba akifariki alafu asubuhi unaona jamaa anatoka na taulo chumba cha mama uyo ni nani kwako yani upende usipende uyo ni baba mdogo maana mama yako ndio analala naye kwaiyo tupende tusipende baba JK ashasepa na anayetoka chumba cha mama ni magu so ndie rais wetu miye nampenda ila akizingua tunamsema
 

Kwanini hatumfikirii katika uwajibikaji bali visasi na roho mbaya tu!!!

Yaani inafikia hatua hata akiua shetani ataulizwa umemuua wa nini na alikuwa akijipitia tu??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…