Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ulichoandika kinafanana na avetor yako.
 
Inabidi tumsubiri tu amalize muda wake. Hakuna namna!

Watanzania huwa hawako serious kwenye masuala ya siasa.
Katika awamu zote nne zilizopita, ni kulia lia tu mitandaoni kama hivi. Hakuna hatua binafsi ya kuonesha hisia, akitokea mmoja akajitolea mhanga akasema tuandamane kwa amani kuonesha hisia zetu...itakula kwake.

Povu jingi tu huku mafichoni!!
 
Kama umesoma baada ya vita na Idd Amin, nikupe pole mapema.
 
Kwakweli kiongozi huyu anachefua kama mzoga!!

Anapenda sifa za kijinga utadhani hajaenda shule kabisa! Naanza kukubali kuwa huenda sio Mtanzania kwa asili huyu!

Anafanya mambo yasiyoingia akilini kabisa
 
Kwakweli kiongozi huyu anachefua kama mzoga!!

Anapenda sifa za kijinga utadhani hajaenda shule kabisa! Naanza kukubali kuwa huenda sio Mtanzania kwa asili huyu!

Anafanya mambo yasiyoingia akilini kabisa
Hakika.
 
Rais akiondolewa Teuzi anakuwa liable kwenye kila jambo
 
Kuna point hapa mkuu. Mgeni wako ukimdai milioni 10, akikupa hata 4 pokea kwanza halafu endelea na madai yaliyobaki.
 
Inaonesha asilimia kubwa sana ya watanzania wameathirika na mfumo wa uongoz uliopita wa kimaamuz na matumizi yasiyo na msingi,,,
 
Nakupongeza kwa pongezi sizizo kifani
Yaliyokua yanafanyika ulanga na kirombelo. Yanafanyika katika wilaya nyingi za nchini mwetu tanzania wananchi wanyonge hutozwa fedha kwa visingizio kama alivyodokeza waziri mku na kukwepesha ziara za viongozi wa ngazi za ju kutofika kusikiliza kero za wananchi dhidi ya watendaji na viongozi nakutakia kheri kwa afya na kazi yako na mdafikia sehemu hizo ili kuondoa dhulma na ufisadi uliyoota mizizi aksante
 

Hivi ni kwanini mnahangaika / mnateseka sana na ' ukomo ' wa Rais JPM? Nasisitiza tena kuwa Rais JPM hatoongoza zaidi ya Mihula yake Miwili na hili nina uhakika nalo tena kwa 100% zote na hata Yeye mwenyewe anajua kuwa hatoongoza zaidi ya hapo kwani anajua Miiko ya CCM pamoja na taratibu zake hivyo huwa nawashangaa mno ' Waswahili ' mnaumiza Vichwa vyenu juu ya Urais wake. Na kwakuwa ameshajua kuwa wengi wenu ( hasa Wapinzani ) mnateseka nae sasa ameamua ' Kuwajambisheni / Kuwatia Roho juu ' ili muumie zaidi, mumjadili huku mkiacha Kuviimarisha vyama vyenu na mkija Kushtuka mwakani mnakuta CCM imepata Kura nyingi na mnabakia tu Kulalama / Kuzoza kuwa mmeibiwa Kura wakati si kweli bali Watanzania ni waelewa na wameshawajua kuwa Wapinzani hamna jipya zaidi ya Majungu pekee.
 

Usiseme Watanzania,

Jisemee wewe.

Umefanya lini sensa au kura ya maoni kwa Watanzania?

Kwa taarifa tu ni kwamba Watanzania wanataka aondoke hata leo.
 
Usiseme Watanzania,

Jisemee wewe.

Umefanya lini sensa au kura ya maoni kwa Watanzania?

Kwa taarifa tu ni kwamba Watanzania wanataka aondoke hata leo.

Mbona na Wewe hapa umesema Watanzania wanataka hata leo aondoke je, ni lini uliongea nao wote na wakakuhakikishia hilo? Pathetic.
 
Reactions: nao

SWALI MKUU.
Hivi anaepaswa kulinda katiba ya nchi ni nani?
Mwananchi?
Usalama wa Taifa?
Jeshi?
Mahakama?
Bunge?
Au Rais?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…