Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hao wanaomuombea mabaya ni wapiga deal tu na wametumwa na mabeberu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
First things first.
Ajira ni human right na hata katiba ya Tanzania inasema kika mtu ananhaki ya kuwa na ajira ambayo ananuwezo nayo.
(1) Everyone has the right to work, to free choice of employment, to just and favourable conditions of work and to protection against unemployment.
— Universal Declaration of Human Rights, United Nations General Assembly
December 10, 1948.
Right to work - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Tujikite hapo kwanza.
Ni kawaida tu ya kiongozi kuchukiwa haswa akiwa anachukua hatua zinazowaumiza watu na ndio uongozi.Kinachoendelea hivi sasa inabidi kiwe funzo kwa Rais J.P Magufuli!
JK alipoleta msamiati wa "kujimwambafai" tu, mitandao ikaripuka kwa vigelegele! Magazeto karibu yote yakaifanya habari hiyo kuwa ukurasa wa mbele!
Si tu kwa mstari wa mbele, lakini karibu yote yaliashiria kana kwamba huyo aliyeambiwa aache kujimwambafai ni JPM!
Hata wana-CCM wenyewe, kama vile Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ali Hapi, nae akaamini kabisa anayeambiwa aache kujimwambafai ni Rais Magufuli!
Kwanini hadi wana-CCM na wenyewe waamini JK kamsema Magufuli wakati yeye alisema Viongozi waache kujimwambafai?!
Lau kama kauli ile ingetamkwa na Mkapa wakati JK yupo rais, sidhani kama wananchi wangemshuku JK kwamba ndie anajimwambafai!!
Sasa kwanini JPM ionekenane ndie anajimwambafai?! Kumbe hata wana-CCM wenyewe wanafahamu kwamba Magufuli anajimwambafai!
Limekuja hili sasa!
Hivi sasa zinapoonea habari juu ya afya JPM, bila kujali kama ni za kweli au za uongo, kwa mata nyingine, mitandaoni kumeibuka shangwe, huku wengine wakisema wazi "...atangulie safari ya milele!"
Hata wakati JK alipoenda kutumbuliwa tezi dume, sidhani kama waliokuwa wanamuombea arudi akiwa kwenye sanduku walikuwa ni wengi namna hii!
Sasa ikiwa hadi wananchi anaowaongoza miongoni mwao kuna wanaouuombea afe, basi hilo ni tosha kumfanya ajitafakari unless!!
Generally speaking, kwa Tanzania inaonekana jamii iliyopo Mtandaoni ndio jamii yenye uelewa zaidi, hususani walio Jamiiforums na Twitter!
Kwa maana nyingine, miongoni mwa wale wanaoonekana kuwa na uelewa zaidi, watafanya sherehe wakisikia rais wao ame-rest in peace!!
Na ukweli ni kwamba, ni mpumbavu na punguani tu ndie anaweza kudiriki kusema hawa wanaomuombea JPM mabaya ni mafisadi! Hao mapunguani tayari tumeanza kuwasikia wakiongea hizi kauli za kipunguani!
Kama zile bidii alizolazimishwa Lissu kwa Risasi 16 ati?!
Ndugu yangu usemayo ni kweli lkn ni kwa JPM wanaomwombea mabaya ni wengi zaidi nadhani ni zaidi ya hao wote uliowataja!!Kila rais ana wasiompenda. Akifanya mambo kumridhisha kila mtu ndio atafeli. Aendelee hivi hivi.
Trump ana watu wanatakia mabaya, uhuru kenyata hivyo hivyo, kagame hivyo hivyo. N ukichunguza kiundani wanaomtakia mabaya ni wale waaotaka siti yake pamoja na wafuasi wao.
Umeongea jambo zuri sana.Kuongezea: so far mpaka apa tulipofikia its wide open sisi ni wa kujilaumu kwa kua ndo tumefikisha nchi ilipofika apa ilipo, serikali inatumia ela nyingi kupeleka watu kusoma nje ya nchi lakini mpaka leo upande wa maendeleo hatujaanza kuvuna matunda ya hizi investment za elimu: ukiachana na ilo kumekua na movement ya the usage of internet, since imekuja people still havent taken advantage of it fully: ajira zmejaa online, i have friend ndo kwanza anaingia chuo lakini ni freelancing , and he has no any ideas of asking of employment: he works online and all his earned money comes from online, its even a more good thing as your adding foreign money to your country but why do people still complain?
Sina, nadhani alijishambulia kwa kujipiga risasi kisha akatuma watu wazitoe cctv cameras halafu akawaambia polisi msifuatilie wala msichunguzeuna ushahidi wa aliofanya ilo tukio ni huyo unaemfikiria? kama una ushahidi we can set you a media meeting for free uongeee? are you ready? but make sure unachoongea una ushahidi nao
Kila rais ana wasiompenda. Akifanya mambo kumridhisha kila mtu ndio atafeli. Aendelee hivi hivi.
Trump ana watu wanatakia mabaya, uhuru kenyata hivyo hivyo, kagame hivyo hivyo. N ukichunguza kiundani wanaomtakia mabaya ni wale waaotaka siti yake pamoja na wafuasi wao.
Umeongea jambo zuri sana.
Wahindi wanapiga hela sana kwenye internet.
Wanafanyia kazi makampuni ya Marekani bila ya wao kuwa Marekani.
Mimi najua hilo kwa sababu na manage wahindi kibao, wanaripoti kwangu. Mimi kamanda wao niko Marekani.
Naangalia wanavyofanya kazi, naona hapa hata Tanzania tunaweza kufanya kazi hii.
Tunahitaji vitu vitano tu. Mfumo sheria wa kuruhusu waekezaji kufanya kazi bila mizengwe. Mfumo wa simu wa nguvu ambao kuongea na Marekaninm itakuwa si hatari, internet ya nguvu ku connect na servers za Marekani, watu wenye elimu ya kuweza kufanya kazi za kimataifa na kujua Kiingereza vizuri.
Huo uchumi wa GDP per capita ya $3,000 tungeupita, tungeongelea kuvuka $10,000.
Lakini, ukilaumu watu tu, unaweza kulaumu wahanga (blaming the victim).
Kwa sababu, ili watu waweze kufanya kazi online kama India, kwa wingi, ni lazima vitu vitano hivyo nilivyotaja viwepo.
Sasa unaweza kulaumu mtu hajui Kiingereza, lakini hata kutokujua Kiingereza ni matokeo ya mfumo wa elimu uliowekwa na serikali. Hayo mengine ya elimu, sheria, internet na simu ni zaidi.
Kwa hivyo, jamii nzima ina lawama.
Ila, hata kwenye Biblia (naongelea Biblia kama loterature and philosophy, si kidini) imeandikwa kwa mfano wa Yesu alivyowapa watu tofauti talanta tofauti, ikasemwa kwamba, aliyepewa zaidi, atadaiwa zaidi ("Noblesse Oblige" wanasema Wafaransa.
Ukioewa dhamana ya kuongiza watu, unadaiwa zaidi maendeleo.
Kwa sababu wewe ndiye umeoewa manyota ya kuongiza nchi. Kumdai mkulima wa Kinondo sawa na Magufuli ji kumuinea mkulima na kumdharau Magufuli.
Kwa hiyo jamii nzima ina lawama, ila, walio juu kwenye uongozi wana kawama zaidi.
Sina, nadhani alijishambulia kwa kujipiga risasi kisha akatuma watu wazitoe cctv cameras halafu akawaambia polisi msifuatilie wala msichunguze
Na baadae akajinyang'anya Ubunge wake na kukikabidhi Chama tawala
NADHANI IMEKUPENDEZA NAHENE LOLO
Kwa hiyo imekupendeza sana natuliza mdomo ila vidole vitakuingia kupitia Keyboard yangubasi vema: huna ushahidi tulizo mdomo huo: maaana hujui unachoongea
Umeongea jambo zuri sana.
Wahindi wanapiga hela sana kwenye internet.
Wanafanyia kazi makampuni ya Marekani bila ya wao kuwa Marekani.
Mimi najua hilo kwa sababu na manage wahindi kibao, wanaripoti kwangu. Mimi kamanda wao niko Marekani.
Naangalia wanavyofanya kazi, naona hapa hata Tanzania tunaweza kufanya kazi hii.
Tunahitaji vitu vitano tu.
1.Mfumo sheria wa kuruhusu wawekezaji kufanya kazi bila mizengwe na Watanzania kufaidika bila kunyonywa.
2.Mfumo wa simu wa nguvu ambao kuongea na Marekani/ duniaitakuwa si hatari.
3.Internet ya nguvu ku connect na servers za Marekani/ dunia
4.Watu wenye elimu ya kuweza kufanya kazi za kimataifa.
5. Kujua Kiingereza (na lugha nyingine za kimataifa) vizuri.
Huo uchumi wa GDP per capita ya $3,000 tungeupita, tungeongelea kuvuka $10,000.
Lakini, ukilaumu watu tu, unaweza kulaumu wahanga (blaming the victim).
Kwa sababu, ili watu waweze kufanya kazi online kama India, kwa wingi, ni lazima vitu vitano hivyo nilivyotaja viwepo.
Sasa unaweza kulaumu mtu hajui Kiingereza, lakini hata kutokujua Kiingereza ni matokeo ya mfumo wa elimu uliowekwa na serikali. Hayo mengine ya elimu, sheria, internet na simu ni zaidi.
Kwa hivyo, jamii nzima ina lawama.
Ila, hata kwenye Biblia (naongelea Biblia kama loterature and philosophy, si kidini) imeandikwa kwa mfano wa Yesu alivyowapa watu tofauti talanta tofauti, ikasemwa kwamba, aliyepewa zaidi, atadaiwa zaidi ("Noblesse Oblige" wanasema Wafaransa.
Ukipewa dhamana ya kuongiza watu, unadaiwa zaidi maendeleo.
Kwa sababu wewe ndiye umeoewa manyota ya kuongiza nchi. Kumdai mkulima wa Kinondo sawa na Magufuli ji kumuinea mkulima na kumdharau Magufuli.
Kwa hiyo jamii nzima ina lawama, ila, walio juu kwenye uongozi wana kawama zaidi.
Kwa hiyo imekupendeza sana natuliza mdomo ila vidole vitakuingia kupitia Keyboard yangu
Kinachoendelea hivi sasa inabidi kiwe funzo kwa Rais J.P Magufuli!
JK alipoleta msamiati wa "kujimwambafai" tu, mitandao ikaripuka kwa vigelegele! Magazeto karibu yote yakaifanya habari hiyo kuwa ukurasa wa mbele!
Si tu kwa mstari wa mbele, lakini karibu yote yaliashiria kana kwamba huyo aliyeambiwa aache kujimwambafai ni JPM!
Hata wana-CCM wenyewe, kama vile Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ali Hapi, nae akaamini kabisa anayeambiwa aache kujimwambafai ni Rais Magufuli!
Kwanini hadi wana-CCM na wenyewe waamini JK kamsema Magufuli wakati yeye alisema Viongozi waache kujimwambafai?!
Lau kama kauli ile ingetamkwa na Mkapa wakati JK yupo rais, sidhani kama wananchi wangemshuku JK kwamba ndie anajimwambafai!!
Sasa kwanini JPM ionekenane ndie anajimwambafai?! Kumbe hata wana-CCM wenyewe wanafahamu kwamba Magufuli anajimwambafai!
Limekuja hili sasa!
Hivi sasa zinapoonea habari juu ya afya JPM, bila kujali kama ni za kweli au za uongo, kwa mata nyingine, mitandaoni kumeibuka shangwe, huku wengine wakisema wazi "...atangulie safari ya milele!"
Hata wakati JK alipoenda kutumbuliwa tezi dume, sidhani kama waliokuwa wanamuombea arudi akiwa kwenye sanduku walikuwa ni wengi namna hii!
Sasa ikiwa hadi wananchi anaowaongoza miongoni mwao kuna wanaouuombea afe, basi hilo ni tosha kumfanya ajitafakari unless!!
Generally speaking, kwa Tanzania inaonekana jamii iliyopo Mtandaoni ndio jamii yenye uelewa zaidi, hususani walio Jamiiforums na Twitter!
Kwa maana nyingine, miongoni mwa wale wanaoonekana kuwa na uelewa zaidi, watafanya sherehe wakisikia rais wao ame-rest in peace!!
Na ukweli ni kwamba, ni mpumbavu na punguani tu ndie anaweza kudiriki kusema hawa wanaomuombea JPM mabaya ni mafisadi! Hao mapunguani tayari tumeanza kuwasikia wakiongea hizi kauli za kipunguani!
You are confusing my writing.Right to work doesnt mean right to enter any office and start working:
You are confusing my writing.
I never mentioned anything about right to enter any office and start working.
One can have right to work without having right to enter any iffice and start working.
I mentioned a soecific case of right to work for the mentally disabled. In a capacity that they are mentally capable for.
Surely you do not exoect me to advocate for the mentally disabled to embark on a planetary exploration of the entire solar system, including the newly discovered 20 new moons orbiting Saturn now, do you?
I am a libertarian, I would like, as an employer, to retain my right to refuse anybody work, with neither explanation nor legal consequences.
Your objectiinnis based on a false assumption.
Please understand my case, before raising illogical objections.
Kwani niliandika kwamba watu wafungue kesi kwa sababu mtu kakataa kuwaajiri?i think wewe ndo hukuelewa my point before: nilisema, huezi enda kufungua kesi kwa sababu mtu kakataa kukuajiri, kukiwa na needs na nkiona unafaaa you will be good to go: nn hujaelewa apo? na pia kunaweza kua na nafasi na u have all the qualifications na nsikuajiri:
Mazingira yanaonyesha kuwa Lissu alishambuliwa kwa amri.😀 😀 😀 😀 uafrika nayo kazi kweli kweli: wengine wanachukua ata miaka 50 kufanya uchunguzi wa kesi, unakuta kesi umefanya ukiwa mdogo file linakujia ukiwa na miaka 50 ndo inaongelewa, we zimeruka apa na pale usharukia: uafrika kazi kweli kweli