Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Kabisa lazima nitafanya sherehehope na wewe unaisubiri kwa hamu hiyo siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa lazima nitafanya sherehehope na wewe unaisubiri kwa hamu hiyo siku
Mnapenda kubembelezwa, jamaa hanaga hizo. Muulize Rukanyima.Ni kweli Rais anafanya vizuri katika uwajibikaji wake lakini katika hotuba zake namshauri apunguze ukali wa maneno na kuwatukana waliomchagua.
Leo katoa kauli yenye utata kwa kisukuma baada ya kujibu "Mkatolwe" kwa kisukuma maana yake mkaolewe je ni sahihi kumwambia mwanaume mwenzako akaolewe? Tena mbele za watu?
Swali alikuwa ameshajibu vizuri ila akaongeza vikorombwezo yaani anaona ni sawa kuwaunganisha wanaume na wanawake kwamba wakaolewe?
Mimi sina tatizo na Rais Magufuli ila ajiulize kwanini wakati yule jamaa anauliza swali watu walikuwa wakimshangilia na yeye baada ya kujibu watu wakaa kimya? Kuna tatizo tena kubwa!
Wasukuma tofauti na kula ugali mkubwa ni watu wazuri sana![emoji28][emoji28][emoji28]Kwa niaba ya Wasukuma naomba msamaha.
Wasukuma ni watu tunaojivunia kuishi vizuri na watu, kauli njema, ukarimu, kuishi kwa kuchukuliana, kuizuia hasira, kufurahi na watu na kuheshimu maadili ya jamii.
Magufuli Si mara moja wala mbili. Amedharau maadili ya Kisukuma. Nawaomba msimchukulie kama mfano wa tabia za Wasukuma.
Tuna watu wengi wa Kisukuma waliotumikia taifa kwa utiifu na unyenyekevu.
Kina Paul Bomani, Chifu David Makwaia, Jaji Francis Nyalali, kutaja wachache tu.
Hawakuwahi kuwavunjia heshima Watanzania hivi.
O ntemi wise ate na masala gete!
Hivi chakula sio kitu muhimu wadau?Serikali inatafuta fedha kwa ajili ya huduma muhimu haiwezi kutafuta fedha kwa ajili ya kukulisha wewe na mke wako.
JPM -Leo Tabora
Kawaida yake ndugu, huwa anajitahidi kujibu vitu ambavyo wajinga wengi watafurahiAnaulizwa kitu kingine anajibu kingine.
Chakula tunamjazia kwenye friji ana shida gani ndugu, alafu wapo wanaomshangilia mtu kama huyuMwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa, katika historia yake hajawahi kufanya biashara yoyote alitoka chuoni akaajiriwa.
Ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka.Ni kweli Rais anafanya vizuri katika uwajibikaji wake lakini katika hotuba zake namshauri apunguze ukali wa maneno na kuwatukana waliomchagua.
Leo katoa kauli yenye utata kwa kisukuma baada ya kujibu "Mkatolwe" kwa kisukuma maana yake mkaolewe je ni sahihi kumwambia mwanaume mwenzako akaolewe? Tena mbele za watu?
Swali alikuwa ameshajibu vizuri ila akaongeza vikorombwezo yaani anaona ni sawa kuwaunganisha wanaume na wanawake kwamba wakaolewe?
Mimi sina tatizo na Rais Magufuli ila ajiulize kwanini wakati yule jamaa anauliza swali watu walikuwa wakimshangilia na yeye baada ya kujibu watu wakaa kimya? Kuna tatizo tena kubwa!
You nailed it mate.Usipate tabu mkuu!!..
View attachment 1274501
Hata mimi ninavyowajua Wasukuma ni watu wanyenyekevu na wasio na majivuno.Kwa niaba ya Wasukuma naomba msamaha.
Wasukuma ni watu tunaojivunia kuishi vizuri na watu, kauli njema, ukarimu, kuishi kwa kuchukuliana, kuizuia hasira, kufurahi na watu na kuheshimu maadili ya jamii.
Magufuli Si mara moja wala mbili. Amedharau maadili ya Kisukuma. Nawaomba msimchukulie kama mfano wa tabia za Wasukuma.
Tuna watu wengi wa Kisukuma waliotumikia taifa kwa utiifu na unyenyekevu.
Kina Paul Bomani, Chifu David Makwaia, Jaji Francis Nyalali, kutaja wachache tu.
Hawakuwahi kuwavunjia heshima Watanzania hivi.
O ntemi wise ate na masala gete!
Usingetoa comment hii ningeshangaa. Wahutu mna shida sana.technically,
Acha uongo! Hakuwa na maana hiyo. Mimi nilikuwapo.
Acha kudhalilisha wazee! Isitoshe hana sifa ya uzee!Usipo muelewa utapata tabu sana
huyu mzee ni mtu wa utani sana
Thanks BossYou nailed it mate.
Wivu dhidi ya PhD holders