Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mnapenda kubembelezwa, jamaa hanaga hizo. Muulize Rukanyima.
 
Wasukuma tofauti na kula ugali mkubwa ni watu wazuri sana![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Serikali inatafuta fedha kwa ajili ya huduma muhimu haiwezi kutafuta fedha kwa ajili ya kukulisha wewe na mke wako.
JPM -Leo Tabora
Hivi chakula sio kitu muhimu wadau?
Manake katika mambo muhimu Nyerere aliyokuwa anayataja mara nyingi ni:
Chakula,Malazi na mavazi.Naona Jiwe kipengele cha chakula amekiondoa!
 
Ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka.
 
Hata mimi ninavyowajua Wasukuma ni watu wanyenyekevu na wasio na majivuno.
 
Bado nakumbuka ile ya ''kama huna Sh. mia mbili piga mbizi'' ( jamaa zangu wa Kigamboni)! Sizonje hayuko vizuri kwenye lugha ya mazungumzo!
 
Kwanza nampongeza mheshimiwa Rais kwa kazi nzuri anayoifanya kwa manufaa mapana ya Taifa.
Amekuwa na uthubutu kila mtu anaona na nina muunga mkono kwa juhudi zote.
Rai yangu kwa mhesimiwa ni lugha ya matusi kwa watendaji kazi wake pale wanapo kosea.mfalme Sulemani alipoulizwa na Mungu apewe nini, aliomba apewe hekima. ajue namna ya kutoka na kuingia kwa watu.kwa maneno mengine ajue lipi la hadharani na lipi la sirini.
Tusi kama pumbavu sana kwa msomi level ya uhandisi. Ni sawa na kumvua nguo hadharani. Ivi hakuna maneno ya busara ya kusema wahandisi wakaelewa kuwa umechukia!? Watoto tunawafundisha kuwa matusi ni tabia mbaya. Je wanapoona Rais unatukana hadharani wajifunze nini!? Bosi katukanwa hadharani, "pumbavu sana"atapatawapi ujasiri wa kuwasimamia walio chini yake!? Mheshimiwa kumtukana mtu hadharani, kwanza unatukana jamhuri, pili unadhalilisha utu wa mtu husika.
Geuza ni wewe unatukanwa hasharani, utajisikiaje.!? Sio kutukanwa tuu, hata kukosolewa hupendi!ndio maana una minya wapinzani!! Nawaomba watanzania kwa imani yetu tumwombee Rais awe na hekima na busara.
 
Kiukweli nchi ilihitaji raisi kam Mh John Pombe, nimuombe raisi asikize maoni ya wapinzani kwani nao wanamaono ambayo yanaweza kuwa na mchango chanya kwa nchi yetu. Sema wapinzani wawe wastarabu kwani raisi ni zaidi ya mwenye nyumba!!! Viva President tuongoze
 
Kiukweli ukitoa protokali za urais za mh Magufuli yeye binafsi ni mwana Sana Tena msela kabisa ila sijui atajinasua vipi na kifungo Cha Ben sanane na Azory Gwanda ila jpm ni mwana Sana Tena msela Sana Mungu amlinde!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…