Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mwenge Wa Uhuru ni katika alama za taifa letu (national symbols). Mbiyo za mwenge ni ukumbusho Wa Uhuru wetu.

Mbio hizi huambatana na ufunguzi Wa miradi mbalimbali. Ni kivutio cha utalii na ni nakshi ya utamaduni wetu. Watu hujumuika na kucheza ngoma zetu za asili.

Kumbuka kwamba mjadala Wa kufuta mojawapo ya alama za taifa ni Wa kitaifa. Siyo jambo LA rais peke yake.
 
Hiyo ni sela ya cdm siyo ya sisiem, Ule ndiyo mzimu wa babu yao, wakiacha wataanguka
 
Mwenge Wa Uhuru ni katika alama za taifa letu (national symbols). Mbiyo za mwenge ni ukumbusho Wa Uhuru wetu.

Mbio hizi huambatana na ufunguzi Wa miradi mbalimbali. Ni kivutio cha utalii na ni nakshi ya utamaduni wetu. Watu hujumuika na kucheza ngoma zetu za asili.
Kumbuka kwamba mjadala Wa kufuta mojawapo ya alama za taifa ni Wa kitaifa. Siyo jambo LA rais peke yake.

Kwa kuwa ni alama ya Taifa, tutumie hela kwa kuonyesha nini? ukishakumbuka uhuru unapata nini? kila kitongoji, Tarafa, Wilaya, Mkoa hawajui ni mradi gani wanahitaji uanzishwe? Kumbuka tabia hii ni utamaduni wa kutumia,"CONSUMERS", tunawekeza pesa kwenye maeneo yasiyo na tija!, Magufuri futilia mabi hii kitu,
 
Mwenge ufutwe!! No,no, nooo. Haiwezekani kabisa, hata atawale kichaa hawezi futa mwenge. Daima mwenge hubeba ujumbe maalum kwa taifa pia miradi ya mamilioni huzinduliwa. Mwenge ufutwe! Futika kwanza wewe. Mbio za mwenge - our nations pride.
 
ningependa kukushauri mr. president, sitisha mara 1 ukimbzj mwenge coz unatumia pesa nyingi sana wakati hatuoni faida

Mbio za Mwenge wa Uhuru ni zaidi ukimbizaji unauona, ila ukitaka huo Mwenge wa Uhuru usimame then badiri nembo ya Taifa, badiri kofia na logo za majeshi yetu, badari noti zetu, ila zaidi jitahidi kujifunza why Mwenge wa Uhuru unakimbizwa, and usijidanganye kuwa hata kama CCM itaondoka madarakani Mwenge wa Uhuru hautakimbizwa! nakushauri tena jaribu kufanya a min research why Mwenge wa Uhuru? Ila nakutoa wasiwasi Mwenge wa Uhuru si uchawi, maana hata kuna mwenge wa Olympic, Jumuiya ya Madola, etc ila Mwenge wa Uhuru ni zaidi ya hio mingine, and kwa awamu ya Magufuli ninaamini utakimbizwa kwa ustadi zaidi, maana yeye binafsi ameutumia kama symbol kwenye campaign zake maana Mwenge ulionekana unawaka.
 
Watu wanashangailia ununuzi wa vitanda 500 kwa pesa iliyokwapuliwa kwenye mfuko wa bunge utadhani serikali ilikuwa likizo hadi ivizie pesa za changizo kwa wabunge. Kama mna nia kweli ya kubana matumizi peleka makumbusho huo mwenge unasababisha kero na gharama zisizo za msingi kwa wananchi.
 
Sio mwenge tu na sikukuu zote za kitaifa zifanyike kila baada ya miaka 5 au 10
 
Aliapa kuilinda katiba,hapo ndo pagumu,kwakua mwenge umeainishwa kwenye katiba kama moja ya alama za Taifa.Japo mi na ona kwa sasa kama badi mwenge unaumuhimu mdogo sana,ungeweza kuhifadhiwa mahala kama jumba la makumbushi ya Taifa tukaiangalie huko
 
Tufuate standard zinazoeleweka, unasign mkataba kuwa nitakaa mwaka kisha unalipa mwezi wa kwanza na wa mwisho na safety deposit.

Kisha kodi unailipia kila mwezi tena directly kwenye account maana cash wanakwepa kodi.
 
Hawa Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kila siku wanasema wanaandaa sera ya kukodisha nyumba na madalali lakini hatuoni kitu. Hii sera na sheria itayofuata ndo inayotakiwa iweke guideline zote hizi.

Rent ilipwe monthly maana hata wafanyakazi wanalipwa monthly, na kuwe na deposit ambayo ni rent ya mwezi mmoja. Mpangaji akimaliza au kuvunja mkataba na kuna uharibifu umefanyika basi mwenye nyumba anaitumia hiyo deposit kufanya marekebisho.
Hata hapo Kenya wanatumia huu utaratibu
 
Tufuate standard zinazoeleweka, unasign mkataba kuwa nitakaa mwaka kisha unalipa mwezi wa kwanza na wa mwisho na safety deposit.

Kisha kodi unailipia kila mwezi tena directly kwenye account maana cash wanakwepa kodi.

Taabu yote hii ya nini si ujenge ya kwako?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom