Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Yas Wakuu Jimbo Letu Liko Kwenye Mkoa Wa Kilimanjaro Unaosifika Kwa Uchumi Wa Juu Lakini Wilaya Hii Ya Mwanga Inaweza Kuwa Chini Kiuchumi Ukilinganisha Na Wilaya Ya Tangahimba Newala Na Hata Singida Vijijini Kwenye Matembe Mengi Tu

Wakuu Wilaya Ya Mwanga Haina Chanzo Chochote Cha Ajira Na Hata Ardhi Yake Ni Ya Milima Hivyo Haifai Hata Kwa Kilimo
Ukiacha Kiwanda Cha Kutengeneza Pombe Kali Cha Bepari La Kihindi Kisichotoa Ajira Kwa Wakazi Wa Mwanga Hakuna Fursa Yeyote Vijana Wamwanga Wamejazana Stendi Wakiuza Maji Kwa Wasafiri Na Wengine Wamesepa

Wito Kwa Rais Usimpe Cheo Cha Uwaziri Mbunge Wangu Prf. Maghembe Ili Akishirikiana Na Dc Shwaibu Ndemanga Watengeneze Fursa Za Ajira Wilayani Humu Chonde Sana Rais Wangu
Tumekusikia
 
Mamlaka ya manunuzi ya umma nayo ni harufu tupu ya ufisadi. Imulike.
 
mheshimiwa asisahau kupitia kwenye hizi baa za uswahilini wahudumu wamekuwa wazembe mno, mtu unaweza kukaa dakika 20 ila hakuna aliyekuja kukuhudumia!
 
Wacha tu ampe uwaziri amalizie mradi wa maji kwenda Dar, Magufuli kishabomoa ile nyumba ya mwana Ukawa kama alivyoahidi kwenye Kampeni.

#Hapakazitu

We mwaza majungu, mnywa majungu, mla majungu na mlala majungu tu! Sisi tunajadili hali ya taifa na mikoa yake, wewe unaotea Ukawa! KUMBUKA: Kama sio Ukawa, hata mabadliko haya JPM asingeyakumbuka! Anakiri alikutana na nguvu ya Umma, and tha is why hata yeye akaanza kuhubiri mabadliko, badala ya: kidumu ccm, na fikra za mwenyekiti!!! Imagine this slogan!
 
Wewe ndiyo muwaza majungu mnywa majungu, mnafiki mkubwa unajipendekeza nini umeacha kuzungusha mikono?

Magufuli kabomoa nyumba yenu mliyojenga kuzuia maji yasifike Dar
 
huyu mganga wake yupo grade one, magufuli atajikuta tu kisha mteuwa
 
Yas Wakuu Jimbo Letu Liko Kwenye Mkoa Wa Kilimanjaro Unaosifika Kwa Uchumi Wa Juu Lakini Wilaya Hii Ya Mwanga Inaweza Kuwa Chini Kiuchumi Ukilinganisha Na Wilaya Ya Tangahimba Newala Na Hata Singida Vijijini Kwenye Matembe Mengi Tu

Wakuu Wilaya Ya Mwanga Haina Chanzo Chochote Cha Ajira Na Hata Ardhi Yake Ni Ya Milima Hivyo Haifai Hata Kwa Kilimo
Ukiacha Kiwanda Cha Kutengeneza Pombe Kali Cha Bepari La Kihindi Kisichotoa Ajira Kwa Wakazi Wa Mwanga Hakuna Fursa Yeyote Vijana Wamwanga Wamejazana Stendi Wakiuza Maji Kwa Wasafiri Na Wengine Wamesepa

Wito Kwa Rais Usimpe Cheo Cha Uwaziri Mbunge Wangu Prf. Maghembe Ili Akishirikiana Na Dc Shwaibu Ndemanga Watengeneze Fursa Za Ajira Wilayani Humu Chonde Sana Rais Wangu

Hivi kile kiwanda cha Spirit kiko wapi vile ..?
 
subiri mikataba mipya ya ajira za mkataba sio hizo za kudumu, inawezekana mwaka kesho ukawa huna kazi hiyo, mshahara utakuwa sio dhamana tena, teh

Mkuu kweny mambo serious usilete utoto ndy maana nchi haiendelea coz watoto wengi
 
Kumekua na unyanyasaji nauonevu kwenye Sekta binafsi kwa sababu ya ukosefu wa ajira Mkuu wa nchi Tunaomba msaada wako na huku ili kila mtu ajue wajibu wake na usawa pia
 
kweli nyasa ni tabu kweli,nilitaka kuomba mkopo lakini nimeambiwa mwajiri ni tatizo,hapitishi fomu hata kusoma nimeairisha sasa.
 
Ushauri kwa Dr Magufuli kuhusu kodi.

Hongera sana Rais John Pombe Magufuli...

Tanzania hatukisanyi kodi,mapato mengi yanapotea sasa kwa kwakuwa umeanza kutumbua majipu kwa kusimamisha vigogo ushauri wangu ni huu..
Kwanza kabisa pamoja na kuwa wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi ipasavyo pia wafanya biashara wadogo nao hawalipi kodi.

Chanzo cha upotevu wa mapato haya ni uzembe wa wamanchi kudai risiti,hata unapodai risiti inaandikwa kwenye kitabu cha risiti na kuandikwa fedha pungufu hasa kwa kupunguza sifuri na baadae sifuri inawekwa baada ya kuchana risiti toka kwenye kijitabu.

Hivyo ili tukusanye kodi ni vyema Serikali iunde Jeshi la kodi kama talivyo majeshi ya Zima moto n.k.

Wapo vijana wengi sana niwahitimi wa vyuo mbalimbali na kupelekwa JKT huku wakiwa hawana ajira,hawa wakitumika kuunda jeshi maalum la kupekua kila mzigo uliobebwa na mwananchi kama una risiti basi hakika tutakusanya matrilioni ya fedha toka kwa wafanyabiashara ambao hawarejeshi VAT inayolipwa na watumiaji wa mwisho.

Asilimia 5% tu ya makusanyo itatosha kuwalipa vijana watakao kuwa wamezagaa mijini kuhakikisha wananchi wanashurutishwa kudai risiti kila wsnaponunua.

Pamoja na hayo Swala la Mashine za kutolea risiti (EFD)ni lazima kila mfanya biashara awe nayo na iwe inafanya kazi badala ya mtindo wa sasa hivi wa wafanya biashara kuziharibu na kisha kupewa barua za ruhusa ya kutumia risiti za mkono ambazo zinawapa mwanya wa kupunguza sifuri na kuijaza baada ya kuchana risiti.

Maeneo yafuatayo nayo yalazimishwe kutumia EFD ili kuokoa mabilioni yanayopotea.

1.Jeshi la polisi,kila faini ya barabarani au kituoni malipo yafanyike kwa EFDs,hii itaokoa mamilioni yanayoishi mifukoni mwa Askari wasio kuwa waaminifu.

2.Taasisi zote za serikali zitumie mashine katika makusanyo yake yawe ya kodi au faini.

3.Mabasi yaendayo mikoani pamoja na Dalala ziachane na mfumo wa kutoa risiti zinazoandikwa na wapiga debe ,badala yake zitumike mashine za kutolea risiti,hapa ikitozwa kodi ya shilingi 20 tu kwa kila tiketi ya daladala za mjini,Shilingi 50 kwa mabasi yanayo safiri umbali mdogo wa nauli isiyozidi elfu kumi,na Kwa mabasi ya mikoani kila tiketi ilipiwe shilingi 200 tu,hakika tutavuna mabilioni ya fedha na hatutakuwa nchi Omba omba tena.

Najua wengi walikata tamaa kwa serikali zilizopita kutokana na kodi Zetu kuliwa na wachache lkn kwa Mwendo wa serikali hii,watanzania watalipa kodi kwa moyo hasa sisi wanyonge.

Yangu ni hayo

Jashia K Maarufu.

0714276818/0765733718
 
Inabidi ukija u change huo mshiko wako. Haha ha ha watu tupate ajira.

We kweli bado mshamba.

Siku hakuna tena haja ya watu kutembea na mahela.

Wanatembea na kadi tu.

Na kama ni kadi za VISA na MasterCard [ambazo zote ni kampuni za Kimarekani USA baby :usa2::usa2:] basi wanaweza kuchukua pesa kutoka kwenye ATM yoyote ile duniani.

Mimi juzi tu hapa nilikuwa Ikungulyabashahi huko na nikatoa pesa kwenye ATM kwa kutumia kadi yangu ya SunTrust na Bank of America.

Hata kadi zangu za CRDB na NBC zinafanya kazi Marekani. Kuna wakati nilienda Finland nikazitumia kuchukulia hela pia.

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:.
 
Ushauri kwa Dr Magufuli kuhusu kodi.

Hongera sana Rais John Pombe Magufuli...

Tanzania hatukisanyi kodi,mapato mengi yanapotea sasa kwa kwakuwa umeanza kutumbua majipu kwa kusimamisha vigogo ushauri wangu ni huu..
Kwanza kabisa pamoja na kuwa wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi ipasavyo pia wafanya biashara wadogo nao hawalipi kodi.

Chanzo cha upotevu wa mapato haya ni uzembe wa wamanchi kudai risiti,hata unapodai risiti inaandikwa kwenye kitabu cha risiti na kuandikwa fedha pungufu hasa kwa kupunguza sifuri na baadae sifuri inawekwa baada ya kuchana risiti toka kwenye kijitabu.

Hivyo ili tukusanye kodi ni vyema Serikali iunde Jeshi la kodi kama talivyo majeshi ya Zima moto n.k.

Wapo vijana wengi sana niwahitimi wa vyuo mbalimbali na kupelekwa JKT huku wakiwa hawana ajira,hawa wakitumika kuunda jeshi maalum la kupekua kila mzigo uliobebwa na mwananchi kama una risiti basi hakika tutakusanya matrilioni ya fedha toka kwa wafanyabiashara ambao hawarejeshi VAT inayolipwa na watumiaji wa mwisho.

Asilimia 5% tu ya makusanyo itatosha kuwalipa vijana watakao kuwa wamezagaa mijini kuhakikisha wananchi wanashurutishwa kudai risiti kila wsnaponunua.

Pamoja na hayo Swala la Mashine za kutolea risiti (EFD)ni lazima kila mfanya biashara awe nayo na iwe inafanya kazi badala ya mtindo wa sasa hivi wa wafanya biashara kuziharibu na kisha kupewa barua za ruhusa ya kutumia risiti za mkono ambazo zinawapa mwanya wa kupunguza sifuri na kuijaza baada ya kuchana risiti.

Maeneo yafuatayo nayo yalazimishwe kutumia EFD ili kuokoa mabilioni yanayopotea.

1.Jeshi la polisi,kila faini ya barabarani au kituoni malipo yafanyike kwa EFDs,hii itaokoa mamilioni yanayoishi mifukoni mwa Askari wasio kuwa waaminifu.

2.Taasisi zote za serikali zitumie mashine katika makusanyo yake yawe ya kodi au faini.

3.Mabasi yaendayo mikoani pamoja na Dalala ziachane na mfumo wa kutoa risiti zinazoandikwa na wapiga debe ,badala yake zitumike mashine za kutolea risiti,hapa ikitozwa kodi ya shilingi 20 tu kwa kila tiketi ya daladala za mjini,Shilingi 50 kwa mabasi yanayo safiri umbali mdogo wa nauli isiyozidi elfu kumi,na Kwa mabasi ya mikoani kila tiketi ilipiwe shilingi 200 tu,hakika tutavuna mabilioni ya fedha na hatutakuwa nchi Omba omba tena.

Najua wengi walikata tamaa kwa serikali zilizopita kutokana na kodi Zetu kuliwa na wachache lkn kwa Mwendo wa serikali hii,watanzania watalipa kodi kwa moyo hasa sisi wanyonge.

Yangu ni hayo

Jashia K Maarufu.

0714276818/0765733718
 
KUna mradi wa maji nyumba ya Mungu - Kisangara -Lemebeni -Mwanga zaidi ya miaka minne anasema hamna lolote amefanya .
 
Nakumbuka mkurugenzi aliyepita aliwapa kazi watumishi wa umma ya kuandisha wapiga kura(Serikali za mitaa) kwa siku 7 kwa malipo ya 5000\siku jumla ikawa 35000 Walitakiwa kuifuata kilosa makao makuu ya wilaya nauli na chakula(usiku) 20,000\= Wakabakiwa na 15,000\= NILICHOKA KWELI.
 
kweli nyasa ni tabu kweli,nilitaka kuomba mkopo lakini nimeambiwa mwajiri ni tatizo,hapitishi fomu hata kusoma nimeairisha sasa.

Hili ni jipu ndiyo maana tunamuomba mtumbua majipu aje kulitumbua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom