Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
TumekusikiaYas Wakuu Jimbo Letu Liko Kwenye Mkoa Wa Kilimanjaro Unaosifika Kwa Uchumi Wa Juu Lakini Wilaya Hii Ya Mwanga Inaweza Kuwa Chini Kiuchumi Ukilinganisha Na Wilaya Ya Tangahimba Newala Na Hata Singida Vijijini Kwenye Matembe Mengi Tu
Wakuu Wilaya Ya Mwanga Haina Chanzo Chochote Cha Ajira Na Hata Ardhi Yake Ni Ya Milima Hivyo Haifai Hata Kwa Kilimo
Ukiacha Kiwanda Cha Kutengeneza Pombe Kali Cha Bepari La Kihindi Kisichotoa Ajira Kwa Wakazi Wa Mwanga Hakuna Fursa Yeyote Vijana Wamwanga Wamejazana Stendi Wakiuza Maji Kwa Wasafiri Na Wengine Wamesepa
Wito Kwa Rais Usimpe Cheo Cha Uwaziri Mbunge Wangu Prf. Maghembe Ili Akishirikiana Na Dc Shwaibu Ndemanga Watengeneze Fursa Za Ajira Wilayani Humu Chonde Sana Rais Wangu