Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ushauri wako haufai! kosa ni kosa tu hata liwe la miaka 20 iliyopita, halafu usiseme Magufuli ndiyo anawashughulikia..it is the GOVERNMENT mhalifu wa jana na mhalifu wa leo hawana tofauti wote ni wahalifu, sheria ni ile ile na serikali waliyoikosea ni ile ile, hawajamkosea Magufuli!Mheshimiwa Rais, salaam!
Umeingia madarakani ukiwa na lengo la kuwatumikia Watanzania kwa kuona wanaishi maisha bora na salama.
Lengo hilo limetokana na fursa ya raslimali nyingi zilizopo hapa nchini hivyo wewe kuamini kwamba hakuna sababu ya Watanzania kulia na umaskini kwa kua raslimali hizi zikisimamiwa vizuri zinaweza kunufaisha kila raia wa nchi hii.
Naamini Kuna mpango kazi ambao umejiwekea (priorities) kufikia ndoto ya Tanzania unayoitarajia.
Tukirudi nyuma, tawala zilizopita kuanzia awamu ya kwanza mpaka ya nne Kuna mema zimefanya na Kuna mabaya pia yalifanyika.
Ndugu Rais, baadhi ya wadau wakiwemo na wanasiasa wanataka ufanyie kazi tuhuma mbali mbali za awamu zilizopita, za ubadhilifu wa Mali ya umma.
Kwangu mimi kazi hii ni ngumu sana na ni mtego wa kuhakikisha hufanikiwi katika malengo yako, Kwani muda mwingi utabaki kushughulikia kashfa zilizopita badala ya kuwaletea Watanzania maendeleo.
Huu ni utawala mpya wa awamu ya tano, unavipaumbele vyake.
Nashauli kama ni masuala ya ufisadi hakikisha hayafanyiki kwenye utawala wako kwa kuibana mianya yote ya ufisadi kama mkuu wa nchi, ikiwemo kuengua watumishi wasio waaminifu na kuweka wazalendo zaidi kwenye serikali yako, japo si jambo jepesi kutokana na utamaduni wa watumishi wetu, wa business as usual.
Jukumu la kulinda na kurejesha raslimali za nchi hii ni za Watanzania wote. Wanaharakati, mahakama kama muhimili upo, bunge lipo. ni kazi ya wananchi wenye ushahidi wa tuhuma hizo kuzipeleka maeneo husika kwa ajili ya hatua stahiki, na si kila jambo Magufuli fanya hivi, fanya vile.
Ikizingatiwa hayakufanyika chini ya utawala wako.utakachotakiwa ni kuwa transparent kwa kutoingilia mihimili iliyopo kwa mujibu wa katiba.
Nashauri bana kuanzia sasa, siku hazigandi.
Kwa cheo chako ambacho ndio cheo kikubwa APA nchini , tegemea kupata misukosuko kama hii, na mingine itagusa moja kwa moja kwenye familia.
Kwa kumsaidia binti kisaikolojia na kumhakikishia future nzuri omba uongozib wa udom kusitisha masomo ya binti.
Fedha unayo bwana mpeleke uko ulaya au Malaysia binti apate elimu kwani APA bongo imeshakua taabu.
Wafungue kesi,iyo kesi wanashinda asubuhi kabla jogoo ajawikaNa wale Vilaza aliowasema Wazazi wao watawapeleka wapi?
tena awe anasoma neno kwa neno bila kuchomekea maneno yake mengine...hiii itasaidia sana kuondoa kauli za kukweza watuAlazimishwe awe anasoma anakosea kutamka kwa usahihi majina, anakosea matamshi ya maneno mbalimbali , anakosea kutaja vyeo vya watu nk.
Alimuita Prof.Mgaya kuwa Mwenyekiti wa TCU badala ya katibu mtendaji wa TCU.
Hiyo TCU haina hata cheo cha mwenyekiti yeye akatamka Mara mbili kuwa prof. Mgaya ni mwenyekiti wa TCU.
Wasaidizi wa rais msaidieni mh.kwa kumwambia kuwa awe anasoma hotuba,anafanya makosa mengi sana anapohutubia bila kusoma.