Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Jamaa anataka wafuasi wamfuate.
Wapo wengi sana[emoji116] [emoji116] [emoji116]
tapatalk_1541571596097.jpeg
tapatalk_1541571592575.jpeg
tapatalk_1541394021780.jpeg
 
Vijana wa Lumumba mna maneno,

Sasa uwekezaji kwenye Dhahabu tu imekuwa Mtihani sasa mmeenda kwenye Korosho ,na mmewapa Jeshi hiyo Shughuli..

Katika Mazingira hayo nani atakuja kuwekeza hapa Pesa zake..
 
We akili zako pancha, waache kwenda kenya kwenye gavoo rafiki waje TZ wapate kashkash za ajabu ajabu haiingii akilini TZ wanakii-google tu wanakutana na majambo ya kunyimwa mkopo kupiga watu risasi bungeni kuteka watu waje wafate nini wakati kenya ni rafiki kwa uwekezaji
 
Mtoa post huna tofauti na Makonda ktk kufikiri.

Ndio maana alihitaji majina yenu muweze kumsaidia kuwaza.

Kweli kuwaza kwa kutumia Makalio, kwa Awamu hii ndio wakati wenu...

Shithole mko juu,!!![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Ningekua mimi ni rais ningemwamuru kila mwakilishi wa tz (balozi) analeta wawekezaji wasiopungua 100 kuja kuwekeza kwa kujenga viwanda tz kila mwaka

Ningeweka hiyo kama qualification ya kuteuliwa kuwa balozi

Duniani kuna nchi 195 tuchukulie 80 duniani zina uchumi imara hapa nazungumzia uchumi mkubwa na wa kati

Viwanda 100 kila balozi avilete kwa nchi 80?

100×80=8000
Hapo ni viwanda 8000

Viwanda 8000 kila mwaka kwa miaka 5?
8000×5= 40000
Hapo jee hatutafikia uchumi wa kati? Hapo sijaweka viwanda vya wazawa, mapato ya kawaida ya tra, utalii nk

Jpm angefanya hivi toka kaingia 2015 leo tungekua mbali sana
Kwa Nchi ambazo mimi nimeishi au kuzitembelea Tayari zina Industrial parks Ukifika tu siku 2 au 3 tayari una jengo na kila kitu kinachotakiwa kwa kuanzisha kiwanda pamoja na vibari vyote mpaka work permit na ma expert wako. Hapa TIC ,TRA Uhamiaji wizara ya aridhi,Tanesco,Dawasa, WANAONGEA KILA MTU NA LUGHA YAKE kama ilivyokuwa wakati wanajenga mnara wa BABELI!!! Unakuja kuwekeza unaambiwa ufidie Land ya wanakijiji !!!! akuna hii kitu kwa wenzetu!!!! hapa Tanzania ukishapata Workpermit inabidi uhamie uhamiaji ambako rushwa inaweza kukuchelewesha ata miezi sita!!!! Nilikuwa na wawekezaji wameamua wakawekeze South africa! Tanzania atuna wawekezaji tuna wasaniii ,wametoa Rushwa watapiga hela na kukwepa kodi na wataiba , sisi Tanzania tuna vibaka atuna investors!!! uliona wapi Wageni wanauza Sabuni Kitumbini?!!
 
We akili zako pancha, waache kwenda kenya kwenye gavoo rafiki waje TZ wapate kashkash za ajabu ajabu haiingii akilini TZ wanakii-google tu wanakutana na majambo ya kunyimwa mkopo kupiga watu risasi bungeni kuteka watu waje wafate nini wakati kenya ni rafiki kwa uwekezaji
Nimejaribu kuwaza hilo mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom