Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Toa hoja njoo na statistics zako nkuonyeshe data zilizoenda shule acha kurusha rusha maneno: Your still a small kid navokuona maana hujui internet inakua vipi a threat to the government: Mambo ya stendi sjui ata yameingilia vipi, i can show you very extreme datas ambazo u have never seen anywhere, So bring your facts acha kurusha maneno
Azitoe wapi hoja huyo pimbi.
 
Sina muda wa kujadiliana na wazee, we baki na wajukuu utaishia kunipotezea muda.
 
1571658627342.png

Toa hoja njoo na statistics zako nkuonyeshe data zilizoenda shule acha kurusha rusha maneno: Your still a small kid navokuona maana hujui internet inakua vipi a threat to the government: Mambo ya stendi sjui ata yameingilia vipi, i can show you very extreme datas ambazo u have never seen anywhere, So bring your facts acha kurusha maneno:

Let me even challenge you kwanza tuone kama unajua ata kinachoendelea: do you know where hidden government reports comes from? Do you know the hidden internet that you cant access? Do you know how government communicates with another government? Do you know anything about the .onion router(TOR)? ama ukishashika google unadhan umeshika internet nzima:

so another fact for you :

View attachment 1240080
unaona tatizo la kujua jamii forum juzi ukadhan unajua internet nzima: google itself its just 0.03% of the whole internet:
hujui ata government documents znatoka wap: we umekazania tu jamii forum, njoo na facts nkupe facts ambazo huezi zipata sehem yoyote
 
Wewe umesema ajihujumu , jibu swali lako wapi anajihujumu?
Hekima , maarifa , na ufahamu sahihi unahitajika katika kuwakilisha ujumbe , maombi , maono nk., na si kuropoka ropoka hovyo bila mpangilio.
Imani ndio inathibitisha kama Mungu Yupo, na wala halazimishi mtu yoyote kumuamini.
Magufuli amepewa heshima kubwa sana kuingoza mamilioni ya Watanzania.

Heshima hii wanapewa watu wachache sana.

Watu hawa wanategemewa wajiheshimu.

Yeye anaposema maneno ya ovyo ovyo kama vile atawapiga Watanzania mpaka shangazi zao, anajihujumu mwenyewe.

Anashusha hadhi ya cheo cha urais, cheo cha kuunganisha Watanzania, kinaonekana ni cha siasa za majitaka na habari za mwenye nguvu kupiga raia hata wasio na hatia.

Rais huyu anajihujumu mwenyewe kabla hajahujumiwa na mtu mwingine.

Kwa hivyo, kama hutaki urais uhujumiwe, anza na Magufuli. Mwambie aache kuropoka ovyo.

Kwenye Mungu hujathibitisha yupo. Unalazimisha imani tu.
 
View attachment 1240086

Toa hoja njoo na statistics zako nkuonyeshe data zilizoenda shule acha kurusha rusha maneno: Your still a small kid navokuona maana hujui internet inakua vipi a threat to the government: Mambo ya stendi sjui ata yameingilia vipi, i can show you very extreme datas ambazo u have never seen anywhere, So bring your facts acha kurusha maneno:

Let me even challenge you kwanza tuone kama unajua ata kinachoendelea: do you know where hidden government reports comes from? Do you know the hidden internet that you cant access? Do you know how government communicates with another government? Do you know anything about the .onion router(TOR)? ama ukishashika google unadhan umeshika internet nzima:

so another fact for you :

View attachment 1240080
unaona tatizo la kujua jamii forum juzi ukadhan unajua internet nzima: google itself its just 0.03% of the whole internet:
hujui ata government documents znatoka wap: we umekazania tu jamii forum, njoo na facts nkupe facts ambazo huezi zipata sehem yoyote
Ha ha ha , pimbi hana hoja huyo!!!!
 
Sina muda wa kujadiliana na wazee, we baki na wajukuu utaishia kunipotezea muda.

Kwahio ulikua unadhan unajua kila kitu kumbe hewa: ndo tatizo la kua mwajiriwa, sasa hujui ata dunia inaend wap ukishaajiriwa unadhan kila mtu anakua na mind kama yako: Mbna watu tunajua ukweli wote kinchoendelea tumetulia: tunaongea sehem panapotakiwa kuongeleka, mbna everything is just well under secret but still visible ukiwa na akili zmekukaa vizuri: sasa ona huna point unalia lia kuita watu wazee, pole lakini inaonekana maisha yanakupiga chenga sana kwa kutokujua ukwel, lakini sasa utafanyaje na unapewa ukwel, you should probably get back to school
 
Narudia tena, sina muda wa kujadiliana na mzee maana utaishia kunipa nadharia kutoka huko Google. Kwa maneno marahisi hapa ni kama unaanika nguo kavu. Sijawahi kuajiriwa wala sitegemei, maana nina ujanja wa kutosha katika utafutaji.
 
Dose imeingia safi sana mkuu.
 
Narudia tena, sina muda wa kujadiliana na mzee maana utaishia kunipa nadharia kutoka huko Google. Kwa maneno marahisi hapa ni kama unaanika nguo kavu. Sijawahi kuajiriwa wala sitegemei, maana nina ujanja wa kutosha katika utafutaji.

sasa umekuja forum kufanya nn unaita watu wazee: toa point mm ndio mzee lakini toa point, toa statistics kama we mtu mzima na mm nkuonyeshe official statistics: stop using the bush, show something real na mm nkuonyesha things ambazo ni real, kelele za wazee znatoka wap?: and kama your a real man unajua how to handle life kelele za magu unatoa wap each and every thread upo
 
Ww ni mke wa Magu au mchepuko wake useme unafuatilia anachoambiwa? Namuambia yeye kama rais, akitoka madarakani sintokuwa na muda naye, kama ambavyo sikuwa na muda naye kabla haijawa rais.
 
Magufuli amepewa heshima kubwa sana kuingiza mamiliini ya Watanzania.

Heshima hii wanaoewa watu wachache sana.

Watu hawa wanategemewa wajiheshimu.

Yeye anaposema maneno ya ovyo ovyo kama vile atawapiga Watanzania mpaka shangazi zao, anajihujumu mwenyewe.

Anashusha hadhi ya cheo cha urais, cheo cha kuunganisha Watanzania, kinaonekana ni cha siasa za majitaka na habari za mwenye nguvu kupiga raia hata wasio na hatia.

Rais huyu anajihujumu mwenyewe kabla hajahujumiwa na mtu mwingine.

Kwa hivyo, kama hutaki urais uhujumiwe, anza na Magufuli. Mwambie aache kuropoka ovyo.

Kwenye Mungu hujathibitusha yupo. Unalazimisha imani tu.
Anza wewe kuacha kulalamika hovyo , toa maoni yako kwa weledi utaeleweka.
Imani yako ndio itakuthibitishia uwepo wa Mungu anaemuamini.
 
Ww ni mke wa Magu au mchepuko wake useme unafuatilia anachoambiwa? Namuambia yeye kama rais, akitoka madarakani sintokuwa na muda naye, kama ambavyo sikuwa na muda naye kabla haijawa rais.

woi
 
hajui hata analalamika nini , hao ndio kina fuata mkumbo wa upepo wa kisulisuli.

Achana nae: hana facts, yupo kila thread inamuhusu magu: na sjawahi ona anaongea kitu kimenyooka: such a wastage birth
 
'Ukitaka kuwa masikini nchi hii, danganywa kwenda kulima. Utalima kwa gharama zako lakini wakati wa kuuza utapangiwa bei na anayeishi mjini"

naona apa jamaa ndo kawaza mpaka mwisho: sasa sjui wale waliofanikiwa katika kilimo wakiona huu utumbo watampa jibu gan, Hizi ndo hasara za kua na watu kama hawa kwemye taifa, unaona mtu kafanikiwa kwenye kilimo badala ya kuomba ushauri anaweka caption kama hii: Eeeeh Mungu saidia
 
Anza wewe kuacha kulalamika hovyo , toa maoni yako kwa weledi utaeleweka.
Imani yako ndio itakuthibitishia uwepo wa Mungu anaemuamini.
Umeshindwa kumtetea Magufuli sasa unageuza focus iwe kwangu.

Mimi sikugombea urais wa Tanzania, Magufuli aligombea.

Sasa unataka Watanzania wache kumjadili rais wao wanijadili mimi?

Unaniwekea mimi mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi sina standards sawa na Magufuli?

Huu ni wehu gani? Wa jumla au rejareja?
 
Achana nae: hana facts, yupo kila thread inamuhusu magu: na sjawahi ona anaongea kitu kimenyooka: such a wastage birth

Hapa nipo nachangia mada yoyote kwa utashi wangu, na kwa gharama zangu. Kama hutaki Magufuli ajadiliwe awe mstaafu kama kina Mkapa, Kikwete ni uone kama kuna mtu atamjadili. Onyesha kuna mada ngapi zilimjadili kabla hajawa rais? Sijadili utakacho bali najadili nitakacho, na sina popote nilipo kufuatilia, na hata ningekuwa nimeona michango yako ningeipotezea maana huna jipya.
 
Sasa utashi gan unao apo:? unaongea upuuzi, its a wastage for our nation to have you: we unaongea kitu ambacho huna evidence nacho, next time ukiwa unachangia: toa mada kama wenzako wanavotoa mada as adults: mtu anakuja na mada , Bwana ni moja mbili tatu documents izi apa: mbna watu wengine wanakujaga na attachment apa na znajadiliwa mpaka znafika conclusion: Afterall my biggest concern was about the internet kwako: Nakuelewesha internet vs the government: sasa nakuelewesha unaanza kulia sitaki kuongea na mzee apa: sasa na uzee wangu najua documents nazitoa wap, we na ukijana wako wa kujua jamii forum juzi kelele nyingi hakuna cha maaana umeongea at a point u get stupid comments:

You want people to understand you as a grown up while hujui at kinchoendelea dunia hii: we unajua jamii forum na google ukishaziona umemaliza internet nzima:
 
Hizo lecture unazotaka kuniletea nimeachana nazo muda huko chuoni, na sasa nafanya kazi za nje ya degree yangu. Kwa ufupi nimejiongeza. Naona unataka kunirudisha kwenye theory ambazo kwangu hazinilipi. Nikitaka hiyo course yako nitalipa ada nije unifundushe. Naona umelazimisha internet internet kama ni jambo ambalo napaswa kujikita huko. Mimi naongelea siasa ya kawaida, ambayo mshindi anapatikana kwa kuiba kura, na figisu kibao, wapiga kura wanaahidiwa maji na barabara zaidi ya miaka 50, na hao hao wenye elimu za kukariri kama ww.

Hakuna jambo gumu hapo ambalo itapaswa unipe lecture ya kufungua link kibao ambazo ni useless kwangu. Kuna vyuo kibao ambavyo unaweza kwenda kuwakaririsha hilo darasa lako, lakini kwangu halina maana. So don't waste your precious time on convincing me to join your internet knowledge, asi it has nothing to do with me.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom