Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Awamu hii ya Joni naona mikutano ya kimataifa hatuna mpango wa kwenda au kutuma mtu je ni kwamba hatuna nauli?

Je zile agenda zinazojadiliwa na viongozi wenzetu wa kidunia zimepitwa na wakati au iPhone?

Hivi tumekubali kuwa hatutaki mahusiano na watu wengine au nimesikia Jana mtu mmoja akisema uchaguzi utakuwa wa haki kwamba watu kutoka nje ya nchi watakuja kwa uangalizi je watakuja wakati wewe umejifungia chumbani yaani Spika yako umeziba matope ya mlima kokoto?

IMG_20191116_175122.jpg

Sent from my itel S32 using Tapatalk
 
Bado wanabadili mfumo wa zamani wa passport, wakimaliza labda wataanza kusafiri
 
Sijaona mtu muoga kama yeye maana akiona wapinzani wanampa changamoto anawaka sana kwenye uongoZi ni bora aache upinzani washike madaraka

Jamani Ndugu zangu watanzania Naomba tuwe wakweli Mungu anatuona Mh rais amefanya Mengi mazuri Kwa nini hatuoni jamani ukiangalia miradi mikubwa ya maendeleo amedhubutu Na amefanya Kwa hela Zetu wenyeweeee angalieni majirani Zetu jamani nchi Zao wanadaiwa pesa za ajabu Na wachina lakini sisi ni pesa Zetu wenyeweeeee Mungu atupe nini Tanzania ? Mimi maendeleo nayaona jamani Siwezi kusema uwongo , tuache ushabiki wa kisiasa maendeleo hayana chama tunayatumia wote jamani tuache kulalamika, Libya wanamkumbuka sana gadafi, tukumbuke nchi ilipotoka jamani Na ilipofika ni Mungu ametupenda watanzania kutuleta Magufuli kuna mambo ya maendeleo awamu ya tano yamefanywa hatujawahi kufanya tangu uhuru mnyonge mnyongeni haki yake mpeniii huo ndio ukweli hata kama
Upinzani unabeza lakini moyoni Najua mnakubali Magufuli ni jembe jamani .

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakati huo huo USA washa kiwasha hawataki hawa wakwetu waende kwao

Sent using Jamii Forums mobile app

Huku africa tumshukuru Mungu saana tuna kila Kitu Na Hao usa Na wenzao hawezi chochote bila sisi africa wamefika walipofika kupitia sisi africa ni tajiri ukiifahamu historian wala hutawasifia wala kuwapongeza mabeberu tujitahidi kuchapa Kazi .

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kipepeo Tours,
Hakuna lolote niambie umefaidika nini mpaka mda huu, kuwa muwazi tu, maana maendeleo hayo unayo yaongelea ni ya rais wa awamu ya nne na yametekelezwa awamu ya tano maana muda ulikuwa sio rafiki kwake, ila ki ukweli mimi sioni alichofanya mpaka sasa zaidi ya kudidimiza mambo
 
To safeguard American Liberty, we have invested a record-breaking $2.2 trillion in the United States Military. We have purchased the finest planes, missiles, rockets, ships, and every other form of military equipment — all made in the United States of America. We are also finally getting our allies to help pay their fair share. I have raised contributions from the other NATO members by more than $400 billion, and the number of allies meeting their minimum obligations has more than doubled (POTUS Trump, February4, 2020).

Natamani mungu akitumpa uzima juhudi zako za kujenga uchumi wa viwanda tufike mahala tuseme- mataluma tuliyojengea SGR na ndege tulizonunua kuimarisha ATCL ni made from Tanzania- MUNGU AKUTIE NGUVU.
 
Trump alisema pia anauchukia sana usoshalisti au ujamaa kwa kilugha chetu, ujamaa ni adui wa maendeleo ya binadamu na uhuru wake.
Nakuaminia Trump wangu, piga chini ujamaa, nchi zote zinazoendekeza ujamaa usiwape hata shilingi moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je asipotoka,matamanio yako yatakuwaje?
mdudu, achana na maneno ya wnaharakati JPM anasema kwa kinywa chake mwenyewe HANA mpango wa kuongeza hata nukuta moja kwenye mda wa urais wake.
 
Trump alisema pia anauchukia sana usoshalisti au ujamaa kwa kilugha chetu, ujamaa ni adui wa maendeleo ya binadamu na uhuru wake.
Nakuaminia Trump wangu, piga chini ujamaa, nchi zote zinazoendekeza ujamaa usiwape hata shilingi moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sinajinasasa, kweli nimesoma
As we restore American leadership throughout the world, we are once again standing up for freedom in our hemisphere. That is why my Administration reversed the failing policies of the previous administration on Cuba. We are supporting the hopes of Cubans, Nicaraguans, and Venezuelans to restore democracy. The United States is leading a 59-nation diplomatic coalition against the socialist dictator of Venezuela, Nicolás Maduro. Maduro is an illegitimate ruler, a tyrant who brutalizes his people. But Maduro’s grip of tyranny will be smashed and broken. Here this evening is a man who carries with him the hopes, dreams, and aspirations of all Venezuelans. Joining us in the gallery is the true and legitimate President of Venezuela, Juan Guaidó. Mr. President, please take this message back to your homeland. All Americans are united with the Venezuelan people in their righteous struggle for freedom! Socialism destroys nations. But always remember, freedom unifies the soul.
 
To safeguard American Liberty, we have invested a record-breaking $2.2 trillion in the United States Military. We have purchased the finest planes, missiles, rockets, ships, and every other form of military equipment — all made in the United States of America. We are also finally getting our allies to help pay their fair share. I have raised contributions from the other NATO members by more than $400 billion, and the number of allies meeting their minimum obligations has more than doubled (POTUS Trump, February4, 2020).

Natamani mungu akitumpa uzima juhudi zako za kujenga uchumi wa viwanda tufike mahala tuseme- mataluma tuliyojengea SGR na ndege tulizonunua kuimarisha ATCL ni made from Tanzania- MUNGU AKUTIE NGUVU.

Huelewi unacho andika maana ni kama ume copy palali na ku paste huku! Rudia kusoma copy paste zaidi ya mara tatu kisha utaona mwenyewe jinsi hakuna point zozote huko ulizo copy paste 🧐
 
Iwapo unapenda vijana na taifa lao Basi huna budi kupiga marufuku kamari zote nchini kwani ni ukoloni hata Kama wanatulipa Kodi wanazoa fedha nyingi sana.pia pombe hasa kali hizi portable spirit hazina tofauti na viroba ni janga linaloua vijana wengi piga marufukuu.kisha ukemee uasherati wowote kuanzia biashara ya umalaya ya kuuza mwili peleka Askari maeneo Kama kambi ya fisi,sudani,mwananyamala n.k wakasafishe maeneo Yale Kisha tangaza nchi nzima biashara hio ikome pia anzisha kampeni ya kitaifa kuwakataza na kuwaonya watu kuangalia picha za porno (x) katika mitandao.mimi nakuja kusema na kuitetea kweli na ntakuja kukwambia mengine mengi.
 
Tumia akili kufikiri, siyo wote tuna tumeitwa kuwa wanasiasa...yeye afanye siasa zake bila kuingiliwa na acha watu wengine waishi maisha yao bila kubugudhiwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom