Mimi ndio nionavyo jamaa namwaminia sana ila yupo kwenye chama kibovu sana cha siasa,chama chenye washauri wabaya sana,chama chenye umafya ndani yake,sasa ukiwakumbatia waliotapakaa mivi na wewe yatakutapakaa.
Ila Magufuli kama angepata washauri na akawasikiliza ,mbona angetosha ,ila ndani ya mfumo wa CCM naweza kusema Tanzania tumempoteza mwananchi ambae sukani yake inaenda kushikwa na Tundu Lisu,na Magufuli alegeze kamba ili yaishe na ajue walionyuma yake ndio wabaya ,wanaomchochea na kumchocheza.
Leo waTanzania huru tunachapana bakora hazarani,hivi bado tuna wale wazungu wakipiga mijeredi wazee wetu.
Pengine kama CCM itapata miaka mitano mingine basi hata mawaziri ,mapolisi majeshi nao watatandikwa bakora hazarani na hawa wakuu wa mikoa.