Maoni ya Bongozozo kuhusu maandamano: Hakuna taifa linapenda maandamano

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Maoni yangu kuhusu maandamano: njia salama zaidi kulinda watu na kulinda mali na kulinda mali ni KUYARUHUSU, kama nchi nyingine za kidemokrasia zinavyofanya.

Tanzania ni demokrasia, sindiyo?

Halafu, nilipokuwa nasoma Katiba ya Tanzania, nikaona hivi:

Ibara ya 20 — Haki ya Kujumuika na Kuunda Vyama
Raia wana haki ya kuunda au kujiunga na vyama, mashirika, au vikundi kwa ajili ya maslahi yao.

Ibara ya 18 — Uhuru wa Maoni, Mawasiliano na Kujieleza
Haki ya kutoa maoni,
haki ya kupata habari,
haki ya kutafuta na kutoa taarifa.

Amani na Salama
Fujoisiyoumiza.
 
Viongozi wakiafrika wakisikia neno maandamano kitu cha kwanza kinachowajia akilini ni vurugu.

Nchi ambayo jamii imejaa shida kuanzia kwenye utosi mpaka unyayo, wananchi wakijumuika kupinga viongozi wanaona hiyo ni vurugu.

Viongozi wa Afrika licha ya kwamba hawana uwezo wa kutatua matatizo ya jamii zao, pia hata hayo matatizo ya jamii hawaoni kama ni tatizo
 
Maandamano yanaruhusiwa na Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama, watawala wanakataza, ukiuliza sababu wanatoa macho kama mjusi bila maelezo yenye tija.

Madai ya wananchi yakiwasilishwa bila Maandamano yanapuuzwa!

Hivi watawala wanataka wananchi ambao ndiyo wenye nchi wafanye nini ili madai yao yazingatiwe?
 
Maoni yangu kuhusu maandamano: njia salama zaidi kulinda watu na kulinda mali na kulinda mali ni KUYARUHUSU, kama nchi nyingine za kidemokrasia zinavyofanya.

Tanzania ni demokrasia, sindiyo?

Halafu, nilipokuwa nasoma Katiba ya Tanzania, nikaona hivi:

Ibara ya 20 — Haki ya Kujumuika na Kuunda Vyama
Raia wana haki ya kuunda au kujiunga na vyama, mashirika, au vikundi kwa ajili ya maslahi yao.

Ibara ya 18 — Uhuru wa Maoni, Mawasiliano na Kujieleza
Haki ya kutoa maoni,
haki ya kupata habari,
haki ya kutafuta na kutoa taarifa.

Amani na Salama
Fujoisiyoumiza.
Miaka 5 ilopita nilisema huyu mtu inawezekana ni Jasusi, na nimeona hilo kupitia hii video.

Ukimsoma vizuri (looking at the fine details) utaelewa.

Kaongea point nzito mno
 
Maoni yangu kuhusu maandamano: njia salama zaidi kulinda watu na kulinda mali na kulinda mali ni KUYARUHUSU, kama nchi nyingine za kidemokrasia zinavyofanya.

Tanzania ni demokrasia, sindiyo?

Halafu, nilipokuwa nasoma Katiba ya Tanzania, nikaona hivi:

Ibara ya 20 — Haki ya Kujumuika na Kuunda Vyama
Raia wana haki ya kuunda au kujiunga na vyama, mashirika, au vikundi kwa ajili ya maslahi yao.

Ibara ya 18 — Uhuru wa Maoni, Mawasiliano na Kujieleza
Haki ya kutoa maoni,
haki ya kupata habari,
haki ya kutafuta na kutoa taarifa.

Amani na Salama
Fujoisiyoumiza.
Hana lolote. Katupiga hela zetu kwa kuturubuni kutrade bitcoin na Crypto bila kututahadharisha kuna risk na kutupa elimu ya kutosha. Sasa hivi bitcoin na Crypto inafanya vibaya. Aturudishie hela zetu bana.

Adriz de @mbusii
 
Maoni yangu kuhusu maandamano: njia salama zaidi kulinda watu na kulinda mali na kulinda mali ni KUYARUHUSU, kama nchi nyingine za kidemokrasia zinavyofanya.

Tanzania ni demokrasia, sindiyo?

Halafu, nilipokuwa nasoma Katiba ya Tanzania, nikaona hivi:

Ibara ya 20 — Haki ya Kujumuika na Kuunda Vyama
Raia wana haki ya kuunda au kujiunga na vyama, mashirika, au vikundi kwa ajili ya maslahi yao.

Ibara ya 18 — Uhuru wa Maoni, Mawasiliano na Kujieleza
Haki ya kutoa maoni,
haki ya kupata habari,
haki ya kutafuta na kutoa taarifa.

Amani na Salama
Fujoisiyoumiza.
Huyu naye aache kujirembesha
 
Back
Top Bottom