ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Watazibu tu si wanajifanya wameziba masikio...Mpaka Bongozozo anawafundisha ndio ujue akili zao zimeshakufa
😀😀Watazibu tu si wanajifanya wameziba masikio...
Sio muda ataletewa kanyambazongo huyu mzee.
Raia wa UK unaweza kumgusa mzee...unajua serikali za wazungu zinavyothamini raia zakeSio muda ataletewa kanyambazongo huyu mzee.
Miaka 5 ilopita nilisema huyu mtu inawezekana ni Jasusi, na nimeona hilo kupitia hii video.Maoni yangu kuhusu maandamano: njia salama zaidi kulinda watu na kulinda mali na kulinda mali ni KUYARUHUSU, kama nchi nyingine za kidemokrasia zinavyofanya.
Tanzania ni demokrasia, sindiyo?
Halafu, nilipokuwa nasoma Katiba ya Tanzania, nikaona hivi:
Ibara ya 20 — Haki ya Kujumuika na Kuunda Vyama
Raia wana haki ya kuunda au kujiunga na vyama, mashirika, au vikundi kwa ajili ya maslahi yao.
Ibara ya 18 — Uhuru wa Maoni, Mawasiliano na Kujieleza
Haki ya kutoa maoni,
haki ya kupata habari,
haki ya kutafuta na kutoa taarifa.
Amani na Salama
Fujoisiyoumiza.
Hana lolote. Katupiga hela zetu kwa kuturubuni kutrade bitcoin na Crypto bila kututahadharisha kuna risk na kutupa elimu ya kutosha. Sasa hivi bitcoin na Crypto inafanya vibaya. Aturudishie hela zetu bana.Maoni yangu kuhusu maandamano: njia salama zaidi kulinda watu na kulinda mali na kulinda mali ni KUYARUHUSU, kama nchi nyingine za kidemokrasia zinavyofanya.
Tanzania ni demokrasia, sindiyo?
Halafu, nilipokuwa nasoma Katiba ya Tanzania, nikaona hivi:
Ibara ya 20 — Haki ya Kujumuika na Kuunda Vyama
Raia wana haki ya kuunda au kujiunga na vyama, mashirika, au vikundi kwa ajili ya maslahi yao.
Ibara ya 18 — Uhuru wa Maoni, Mawasiliano na Kujieleza
Haki ya kutoa maoni,
haki ya kupata habari,
haki ya kutafuta na kutoa taarifa.
Amani na Salama
Fujoisiyoumiza.
Huyu naye aache kujirembeshaMaoni yangu kuhusu maandamano: njia salama zaidi kulinda watu na kulinda mali na kulinda mali ni KUYARUHUSU, kama nchi nyingine za kidemokrasia zinavyofanya.
Tanzania ni demokrasia, sindiyo?
Halafu, nilipokuwa nasoma Katiba ya Tanzania, nikaona hivi:
Ibara ya 20 — Haki ya Kujumuika na Kuunda Vyama
Raia wana haki ya kuunda au kujiunga na vyama, mashirika, au vikundi kwa ajili ya maslahi yao.
Ibara ya 18 — Uhuru wa Maoni, Mawasiliano na Kujieleza
Haki ya kutoa maoni,
haki ya kupata habari,
haki ya kutafuta na kutoa taarifa.
Amani na Salama
Fujoisiyoumiza.
Kaoa kwetu, tuna nasaba nae kwa namna hiyo.Raia wa UK unaweza kumgusa mzee...unajua serikali za wazungu zinavyothamini raia zake