tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,842
- 8,266
Salam wana wataalam wa masuala ya siasa. Dr. Mauki ametoa maoni yake kuhusu watia nia nafasi mbalimbali kupitia ukurasa wake wa Instagram. Unafikiri hoja yake ina mashiko? Jisomee mwenyewe kwenye picha.
Ukitaka kujua kuwa hatuko siriaz na umuhimu na sensitiveness ya maamuzi yahusuyo maendeleo ya nchi. We chunguza michakato ya kuchua form na kutia nia.
Endelea kuchunguza utanielewa. Kuna mtu unawaza kawaza nini kutaka eti kuwa mbunge. Au kutia nia ndio rahisi kama kutia chai kwenye kikombe. Nahisi ni dalili ya frustrated and confused society.