Akili za Mwigulu ndo za Bi. Nywinywi… hawaelewi malalamiko ya raia yanatokana na nini, ni sawa na kisa cha yule mke wa Mfalme wa Ufaransa wakati wa French Revolution aliyeshangaa wananchi kuandamana kisa bei ya mkate imepanda bei; akashauri si heri wangekula cake badala ya mkate?Simtetei kuwa hausiki na ufisadi na nepotism inayombeba kiasi cha kupewa wizara nyeti kama hii anayoisimamia.
Lakini kitendo cha kukilri hadharani kuwa tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi wa CCM ndio zilisababisha wananchi kuichukia CCM na kuandamana Oktoba 29 ni dhahiri kuwa yupo makini kuliko waziri mkuu Mwigulu.
Mwigulu amekuja na habari za Economic sabbotage. Economic sabbotage.Jambo ambalo haliingii akilinini kirahisi.
Lakini anasahau kuwa ni wazi kama alivyosema Ridhiwani leo kuwa mpaka sasa wananchi wanawatuhumu viongozi wa CCM kuhusika na ufisadi na upendeleo wa familia zao huku masikini tukiwa hatuna uhakika hata wa uji na limau.
My take, Ridhiwani ameongea uharisia kuwa CCM inachukiwa sababu viongozi wake wanahusishwa na ufisadi. Hivyo asijitetee kuwa hausiki na ufisadi kisa tu hajaweka mali za kifisadi kwenye fomu ya maadili.
Idu wa Igunga.
Anaitwa Marie Antoinette! Mke wa Mfalme Louis wa 16!! Alizaliwa kwenye familia ya Kifalme, halafu akaolewa na Mfalme wa Ufaransa! Dah! Kitambo sana kwenye mambo ya French Revolution ya mwaka 1780's mpaka 1790's.Akili za Mwigulu ndo za Bi. Nywinywi… hawaelewi malalamiko ya raia yanatokana na nini, ni sawa na kisa cha yule mke wa Mfalme wa Ufaransa wakati wa French Revolution aliyeshangaa wananchi kuandamana kisa bei ya mkate imepanda bei; akashauri si heri wangekula cake badala ya mkate?
Ahaaa. CCM imechoka kwa kila namna. Hata kujua kero za wananchi ni zipi imekuwa tabu.!All in all, ningependa kuona ccm na serikali yake inatuachia nchi yetu. Kwa sababu mpaka sasa wananchi walio wengi wamekosa kuwa na imani nao.
Kama inawezekana iundwe haraka serikali ya mseto, yafanyike marekebisho muhimu kwenye tume ya uchaguzi! Halafu uchaguzi ufanyike upya chini ya uangalizi wa vyombo huru vya Kimataifa.
Augustino effects..Tena akasema wahojiwe wachunguzwe utafutwe ushahidi.
Nadhani ni kauli ya kiungwana sana kutoka kwa Mh Riziwani kuliko kutupia lawama upande mmoja tuu
Rizimoko ameamua kutubu mapema kabla haja... ngoja niishie hapoAkili za Mwigulu ndo za Bi. Nywinywi… hawaelewi malalamiko ya raia yanatokana na nini, ni sawa na kisa cha yule mke wa Mfalme wa Ufaransa wakati wa French Revolution aliyeshangaa wananchi kuandamana kisa bei ya mkate imepanda bei; akashauri si heri wangekula cake badala ya mkate?
Napoléone Bonaparte alihusika?Anaitwa Marie Antoinette! Mke wa Mfalme Louis wa 16!! Alizaliwa kwenye familia ya Kifalme, halafu akaolewa na Mfalme wa Ufaransa! Dah! Kitambo sana kwenye mambo ya French Revolution ya mwaka 1780's mpaka 1790's.
Point yake ilikuwa inasema "Extravagancy of the French Bourbon Kings"
Katumwa na baba yake kuongea vileRizimoko ameamua kutubu mapema kabla haja... ngoja niishie hapo
Na Mr. BRN T anasema wanaowasema marais wastaafu akiwemo yeye wamekosa adabu.. ngoja niishie hapoKatumwa na baba yake kuongea vile
Siipendi ccm, simpendi kikwete wala huyu fisadi mwanae Rizimoko ila kijamaa kimeongea maneno ya kizalendo sana. Kimepiga mule mule kabisa kile watanganyika tunataka kusikia wakati huuSimtetei kuwa hausiki na ufisadi na nepotism inayombeba kiasi cha kupewa wizara nyeti kama hii anayoisimamia.
Lakini kitendo cha kukilri hadharani kuwa tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi wa CCM ndio zilisababisha wananchi kuichukia CCM na kuandamana Oktoba 29 ni dhahiri kuwa yupo makini kuliko waziri mkuu Mwigulu.
Mwigulu amekuja na habari za Economic sabbotage. Economic sabbotage.Jambo ambalo haliingii akilinini kirahisi.
Lakini anasahau kuwa ni wazi kama alivyosema Ridhiwani leo kuwa mpaka sasa wananchi wanawatuhumu viongozi wa CCM kuhusika na ufisadi na upendeleo wa familia zao huku masikini tukiwa hatuna uhakika hata wa uji na limau.
My take, Ridhiwani ameongea uhalisia kuwa CCM inachukiwa sababu viongozi wake wanahusishwa na ufisadi. Hivyo asijitetee kuwa hausiki na ufisadi kisa tu hajaweka mali za kifisadi kwenye fomu ya maadili.
Idu wa Igunga.
Tena kaongea vizuri, kwa uungwana, kwamba kama yeyote ana ushahidi awasilishe. Ni fisadi konki ila ana staha.My take, Ridhiwani ameongea uhalisia kuwa CCM inachukiwa sababu viongozi wake wanahusishwa na ufisadi. Hivyo asijitetee kuwa hausiki na ufisadi kisa tu hajaweka mali za kifisadi kwenye fomu ya maadili.
Fisadi konki ila ana staha😀😅😂Tena kaongea vizuri, kwa uungwana, kwamba kama yeyote ana ushahidi awasilishe. Ni fisadi konki ila ana staha.
Wanasema lugha nzuri ilimtoa nyoka pangoni. Taratibu tu anaweza akajenga taswira kuwa ni yeye pekee mwenye busara ndani ya ccm
Kama yuko serious alitakiwa akae pembeni uchunguzi ufanyike. Hata hivyo hakuna taasisi za kweli za kuwachunguza. Asidhani hatujui ukweli wa obovu wa mifumo.Tena akasema wahojiwe wachunguzwe utafutwe ushahidi.
Nadhani ni kauli ya kiungwana sana kutoka kwa Mh Riziwani kuliko kutupia lawama upande mmoja tuu