Maoni ya Idu: Ridhiwani Kikwete ana hoja kuliko Waziri mkuu Mwigulu Nchemba

Kwanini Ridhiwanu kikwete ni mtu ambaye ameongea kizalendo..Mwiguru akajigunze kwa ridhiwanu mim nimechoka Kila siku anatuite wezi mara vibaka mbona Riz anaongea vizuri.
 
🀣😁😁😁
 
Tena akasema wahojiwe wachunguzwe utafutwe ushahidi.

Nadhani ni kauli ya kiungwana sana kutoka kwa Mh Riziwani kuliko kutupia lawama upande mmoja tuu
Yani imenishangaza sana sana. Sikutegemea kuwa anabusara hivi. Hivi ndio ingetakiwa yule Mwigulu aongee. Mwigulu anafokafoka tuuuuu. Guys guys, usanii mwingi, na kutuona wajinga wote.
 
Yani imenishangaza sana sana. Sikutegemea kuwa anabusara hivi. Hivi ndio ingetakiwa yule Mwigulu aongee. Mwigulu anafokafoka tuuuuu. Guys guys, usanii mwingi, na kutuona wajinga wote.
Rizi One ni presidential material, sio mtu mropokaji, namuona anajua sana kucjagua maneno kwa mukibu wa muktadhwa..

Zaidi ya skendo tunazoziskia kwa watu huyu jamaa hajawahi kunidis appoint kwenye kinywa chake namuona kama husein mwinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…