mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Nadhani ya ofis ya PM iliwekwa hapa jfWapinzani kama hotuba zao zikikataliwa kusomwa bungeni wawe wanaziweka humu JF au kwenye website za vyama vyao ili tujue walicholenga kutuhabarisha
kwa kweliWako bize na upinzani badala ya kumtaka Magufuli atangaze lockdown
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Bia yetu tunakupenda kukula sana ili tuchanganye mafaili kwa headUtakuta maoni yalijaa matusi na kuibeza serkali
Safi bora hayajaingia kwenye Hansard za bunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishakuambia ujilockdown wewe na mwanaume wako mbona huelewi wewe dada??Wako bize na upinzani badala ya kumtaka Magufuli atangaze lockdown
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Bia yetu tunakupenda kukula sana ili tuchanganye mafaili kwa head
Kwani kuibeza serikali ni kosa? Yaani hamtaki kubezwa na wapinzani wenu? Sasa wasipowabeza wataendelea kuwa wapinzani?Utakuta maoni yalijaa matusi na kuibeza serkali
Safi bora hayajaingia kwenye Hansard za bunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuibeza serikali ni kosa? Yaani hamtaki kubezwa na wapinzani wenu? Sasa wasipowabeza wataendelea kuwa wapinzani?
Nafuatilia sana siasa, Kila upande huwa una kauli mbaya