george njeni
New Member
- Dec 3, 2012
- 1
- 0
Ndugu watanzania wakatitulionao ni wakati mzurisana wakufanyamarekebisho ya katiba ya nchi yetu, lakini vilele unawezekana ukawa wakati mbaya sana kama hatutautumia vyema ipasavyo, Maoni yakatiba yanawahusu watanzaniawote lakini swali lakujiuliza niwatanzania wangapi wanaoijua katiba ya JAMUHURI YA MUNGANO wa TANZANIA? maana yake tutachangia nini kama katiba hatujui?