CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Habari wakuu wana Jamii Forums.
Nimelazimika kuingilia kati kidogo minadala inayoendelea Tangu jana Usiku Baada ya yanga Kupoteza Mchezo 2-0 Dhidi ya MC Alger ya Algeria
Nimekuwa nikifuatilia maoni sehemu mbali mbali hususa ni Kwenye mitandao ya kijamii kama Jf na instagram.
MAONI YANAYOTOLELEWA NA MASHABIKI, WANACHAMA NA WAPENZI WA YANGA AFRICA UNAWEZA UKALI. HII NDIO INANIFANYA NIONE TAIFA LANGU LIMEOZA KABISA LIMEJAZA MBUMBUMBU KABISA.
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020.
"MWINGINE AKASEMA YANGA WENYE AKILI NI WAWILI TU MZEE KIKWETE NA MZEE SUNDAY MANARA"
- HAJI MANARA"
BAADHI YA MICHANGO YA MASHABIKI WQ YANGA BAADA YA KUPOTEZA MCHEZO NA MC ALGERS.
1. Huyo sio kocha kabisa hafai kabisa kuifundisha Yanga hana uwezo kabisa.
2. Engineer afukuzwe anamfukuzaje Gamondi kama Mke wake.
3. Mobeto ameshusha sana kiwango cha Azizi Ki.
4. Kocha Anampangaje Abuya anamuacha Mkude nje aliyecheza vizuri Mechi na Mamelody.
5. Kibabage anazungu anazunhuka kama Mtoto wa Under 17 uwanjani hakuna anacho kifanya.
6. Mzee magoma Anasababisha majeraha kwa Wachezaji wetu.
7. Uwanja wa azam haufai kabisa kuchezewa mpira.
8. GSM yule ni simba Damu tuliisha waambia hamtaki kisikia.
9. Mwamnyeto hafai kucheza yanga.
10. Kocha wa viongo wa Yanga anasabisha wachesaji wanapata majeraha.
WANASAHAU MAMBO YA MUHIMU .
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.
1. UMASIKINI
2. UJINGA.
3. MARADHI.
Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.
LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.
2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.
1.Umasikini na ufukara.
2. Ujinga na upumbavu.
3. Magonjwa na Maradhi.
4. Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo
6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk
MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.
OKOENI TAIFA LENU LEO.
IPO SIKU HILI TAIFA LITAZIDIWA NA SOMALIA KIUCHUMI.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.