Maoni ya Mdau: Simba igawanywe mara mbili

Maoni ya Mdau: Simba igawanywe mara mbili

Hii Simba wangeigawa mara mbili. Simba Mangungu na Simba MO. Kama zamani si kulikuwa na Simba na Small Simba.

Baada ya mgawanyo huo kila mmoja afanye analotaka sasa. Mashabiki wa Simba mtachagua upande mnao taka.Tumechoka na mivutano yao isiyo na tija.
Pesanyingi View attachment 3016097
1718290341262.png
 
wee nae unatuletea vocomenti vya wenzio waliochoka namaisha tuvisome humu?

unataka igawanywe kwani imekua andazi au?
qu. mmmmaaaaaaaaaaaaak
We ndiyo umechoka na maisha hadi unaishia kuporomosha matusi si ndiyo kuishiwa huko. Watu wanajadili michezo we unaleta matusi kuonyesha ulivyo masikini na kapuku wa fikra.
 
Iungane kama tanganyika na zanzibar, iitwe MaMoSimba ikimaanisha mangungu, mo, na simba
 
5imba walifanya usaliti wakati sisi tunapigania uhuru wakajitenga kwa hongo ya viatu vya waarabu sasa mzizi unawatafuna
 
Back
Top Bottom