Hii Simba wangeigawa mara mbili. Simba Mangungu na Simba MO. Kama zamani si kulikuwa na Simba na Small Simba.
Baada ya mgawanyo huo kila mmoja afanye analotaka sasa. Mashabiki wa Simba mtachagua upande mnao taka.Tumechoka na mivutano yao isiyo na tija.
Pesanyingi View attachment 3016097
VAR nasikia inakuja msimu ujao. Itakuaje sasa?We're specialized in football
We ndiyo umechoka na maisha hadi unaishia kuporomosha matusi si ndiyo kuishiwa huko. Watu wanajadili michezo we unaleta matusi kuonyesha ulivyo masikini na kapuku wa fikra.wee nae unatuletea vocomenti vya wenzio waliochoka namaisha tuvisome humu?
unataka igawanywe kwani imekua andazi au?
qu. mmmmaaaaaaaaaaaaak
njoo nyumbani kwangu uje ueleze shida zako nyau weeWe ndiyo umechoka na maisha hadi unaishia kuporomosha matusi si ndiyo kuishiwa huko. Watu wanajadili michezo we unaleta matusi kuonyesha ulivyo masikini na kapuku wa fikra.
Beki tatu naona katika ubora wako.njoo nyumbani kwangu uje ueleze shida zako nyau wee
Vyote 2.Sio Kwamba Simba ndo Mbu Mbu mbu
mwiguluNani huyu [emoji23]
Na CHADEMAHii Simba wangeigawa mara mbili. Simba Mangungu na Simba MO. Kama zamani si kulikuwa na Simba na Small Simba.
Baada ya mgawanyo huo kila mmoja afanye analotaka sasa. Mashabiki wa Simba mtachagua upande mnao taka.Tumechoka na mivutano yao isiyo na tija.
Pesanyingi View attachment 3016097