Maoni ya mdau: ukiondoka Yanga umekwisha!!

Maoni ya mdau: ukiondoka Yanga umekwisha!!

"Ila Yanga wachawi dadeki zenu hakuna aliyeondoka kwa amani akapata mafanikio, Nabi kule mapema kaondoshwa club bingwa huku Caze mechi 6 zote chali [emoji16][emoji16][emoji16] oyaaaaa punguzeni uchawi hawae nao wana familia zao hapo bado Fei""

Maoni ya mdau mtandaoni Baada ya kaze kubwaga manyanga ukocha wa namungo

Je unadhani hili Lina mantiki/ ukweli ndani yake???

Nakala aipate
Mshana Jr View attachment 2789409
Hakuna cha uchawi mchawi nambari one unapotafuta changamoto mpya ni wewe mwenyewe
 
Vp saidoo kaisha msimu jana MFUNGAJI BORA. Na mayere nae kaisha?
Ujinga hauna mpaka.Wajinga huwa wanaamini kinachowapata ni kwa sababu ya ujinga wao.Hivyo usishangae hoja muflis kama hizi . Ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.Shame.
 
Nilivyoondoka yanga nilikaa miaka mitano bila kuitwa national team –amri kiemba–
 
"Ila Yanga wachawi dadeki zenu hakuna aliyeondoka kwa amani akapata mafanikio, Nabi kule mapema kaondoshwa club bingwa huku Caze mechi 6 zote chali [emoji16][emoji16][emoji16] oyaaaaa punguzeni uchawi hawae nao wana familia zao hapo bado Fei""

Maoni ya mdau mtandaoni Baada ya kaze kubwaga manyanga ukocha wa namungo

Je unadhani hili Lina mantiki/ ukweli ndani yake???

Nakala aipate
Mshana Jr View attachment 2789409

Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom