Ni kweli ni ndogo, fanya tafiti kwanza kwa nini imetoka 1500 hata mwaka haujaisha imepanda tena, hii inamanisha ni eneo potential kwa makusanyo ya kodi! Badara ya kuja na sera ya kila nyumba iwe na umeme kusudi ukusanye kikubwa bila hata ya kuongeza kiwango. Wewe unaongeza mzigo kwa wachache waliopo! Kwanini usiongeze kwa kuongeza idadi ya nyumba zenye umeme ili ukusanye pakubwa??? Unakuta kijiji kina kaya 800 ila zenye umeme ni kaya 200 tuu. Sasa unataka kuwabebesha mzigo wa kaya 800 kwa kaya 200 akili matope??Haya ni maoni ya Mtanzania ambaye kwa akili yangu nimemuona kama hajielewi na hajui jinsi vile hizi kodi na tozo zinavyotafunwa Kifisadi hapa Tanzania ππππ
Hii kodi ni ndogo sana...kwa mwezi...
Nyumba ya kawaida ilitakiwa ilipie kodi ya jengo walau 5000// kwa mwezi
Waafrika tunadhalilishwa kwa kulazimishiwa hadi u GAY kwasababu hatutaki kabisa kulipa kodi.....tunapenda sana serikali zetu ziwe omba omba
Hivi kweli jamani NYUMBA ya chini kulipa kodi 2000/= nalo ni la kulalamika?????
Tulalamikie hela zikiliwa lakini kodi ya majengo ni chini sana.
UK kodi ya jengo kwa mwezi kwa nyumba ya chumba kimoja tu ni Β£100 kwa mwezi sawa na shs 361,000/= ndio maana wanatujengea hadi mashimo ya vyoo kwa wanafunzi wetu sisi ambao hata shs 2000/= tu tunahamasishana kugomeaπ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈ
Kama kweli tunataka kuwa HURU basi tuanzie kwenye kuwa na independent budget yetu wenyewe na kweli TUFUNGE MIKANDA KULIPA KODI ZA SERIKALI NA ZA MAJIJI NA MANISPAA