kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Bado naona wana wasiwasi na timu pinzani wanaweza kufia uwanjaniHivi lile ombi la wanayanga timu yao iwe inacheza dk 180 lilikubaliwa na tff au?
Karibu mwanalunyasi mwenzangu huku kuzuriNgoja namie nihamie yanga
Hahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado naona wana wasiwasi na timu pinzani wanaweza kufia uwanjani
Hili gari la yanga sidhani kama litafunga break mwana lunyasi mwenzangu. Jitahidi uhamie yangaNi sahihi,yanga wapo vizuri hilo halina kificho, ila suala la kusema lazima tuhamie yanga ni upuuzi.
Mimi mshabiki wa simba na sipingi hilo.
Simba timu yetu ilikuwa vizuri misimu kadhaa nyuma je watu walihamia hapo.
Sasa keshokutwa simba ikiwa vizuri atahamia tena simba?
Kwa sasa habari ya mjini ni kuhamia tu Yanga! Wenzako wanahamia. Shauri zako. Utaishi maisha ya mateso sana ukiendelea kukaza shingo.Ni sahihi,yanga wapo vizuri hilo halina kificho, ila suala la kusema lazima tuhamie yanga ni upuuzi.
Mimi mshabiki wa simba na sipingi hilo.
Simba timu yetu ilikuwa vizuri misimu kadhaa nyuma je watu walihamia hapo.
Sasa keshokutwa simba ikiwa vizuri atahamia tena simba?
Siwezi hamia yanga, hapo unakuwa kama mwanamke wa baa, ukiona meza imejaa unatamani uhamie hapo.Hili gari la yanga sidhani kama litafunga break mwana lunyasi mwenzangu. Jitahidi uhamie yanga
Siku zote nyuli hufuata asali mwanalunyasi acha kukaza shingo acha kuteseka tuhamie upande wa piliSiwezi hamia yanga, hapo unakuwa kama mwanamke wa baa, ukiona meza imejaa unatamani uhamie hapo.
Mie shabiki wa simba, toka inafanya vizuri, ikazingua, ikafanya vizuri,now inazingua hakuna tabu ndio mpira kwangu hakuna tabu.
Huyo si ndiye yule wa UNDERDOGYanga Wana Timu bora Sana Mechi Ya KMC Mkude, SUREBOY na Mwamunyeto walikuwa Jukwani, mechi iliyofwata waliingia kwenye kikosi moja kwa moja hii ni Players Quality Management kutoka kwa Gamondi Kocha bora kabisa” Shafi Dauda via Sport extra.
Nilifanya maamuzi sahihi kuhamia Yanga. Ipo siku kila mtu ataishabikia Yanga hata siriniView attachment 2732505
Hivi lile ombi la wanayanga timu yao iwe inacheza dk 180 lilikubaliwa na tff au?
Bado linafanyiwa kazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji617]Hivi lile ombi la wanayanga timu yao iwe inacheza dk 180 lilikubaliwa na tff au?
unasemaaa?Kwa sasa habari ya mjini ni kuhamia tu Yanga! Wenzako wanahamia. Shauri zako. Utaishi maisha ya mateso sana ukiendelea kukaza shingo.
Angalia wenzako akina Haji Manara, Diamond Platinum, Mwana FA, kilwakivinje, Kalpana, Scars, na wengineo wengi wamekuwa ni wananchi halali wa Tanzania! Wewe unasubiri nini huko uliko?
Njoo uje ufaidi Pira Gamond!! Pasi 4000, goli 4! Pasi 5000, goli 5!!! Siyo pira papatu patu!! Mwisho wa siku timu inashinda, halafu mashabiki hamna furaha!
Ni sahihi, Yanga wapo vizuri hilo halina kificho, ila suala la kusema lazima tuhamie Yanga ni upuuzi.
Mimi mshabiki wa Simba na sipingi hilo.
Simba timu yetu ilikuwa vizuri misimu kadhaa nyuma je watu walihamia hapo.
Sasa keshokutwa simba ikiwa vizuri atahamia tena simba?
Limekataliwa, TFF wameshauri wacheze dakika 240, ikijumuisha 60 za ziada. Yaani dakika 120 Mara mbiliHivi lile ombi la wanayanga timu yao iwe inacheza dk 180 lilikubaliwa na tff au?