kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Yanga Wana Timu bora Sana Mechi Ya KMC Mkude, SUREBOY na Mwamunyeto walikuwa Jukwani, mechi iliyofwata waliingia kwenye kikosi moja kwa moja hii ni Players Quality Management kutoka kwa Gamondi Kocha bora kabisa” Shafi Dauda via Sport extra.
Nilifanya maamuzi sahihi kuhamia Yanga. Ipo siku kila mtu ataishabikia Yanga hata sirini
Nilifanya maamuzi sahihi kuhamia Yanga. Ipo siku kila mtu ataishabikia Yanga hata sirini