Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

Wakuu, hii ni hotuba ya karne. Nina uthubutu wa kusema, tena kwa ujasiri kwamba tangu Tanganyika huru iwepo hatujawahi kushuhudia hotuba kali kama hii. Ni hotuba ya kisomi iliyojaa kila aina ya vielelezo na ushahidi, zaidi ya vielelezo 70 (footnotes), sio mchezo.

Ili kukata mzizi wa fitna nawaomba advocates wa Serikali 2 waje na ushahidi na vielelezo visivyo na shaka kukanusha paper hii ya Kamanda Lissu na sio kupayukapayuka bila mpango wala hoja za maana. I can see kwanini jamaa wanang'ang'ania Serikali 2 kwa udi na uvumba lakini bahati mbaya kwao kadiri wanavyozidi uking'ang'anizi wao ndivyo wanavyozidi kuharibu na kuachwa uchi wa nyama.

Poleni watetezi wa Serikali 2 ambao mnadhani mna akili na uzalendo kuliko Jaji Joseph Warioba, the former Attorney General of the Republic, Prime Minister and VP; kuliko Dr. Salim A. Salim, the former Minister for Defence, Primer Minister, and OAU Chief; kuliko Judge Brig. Gen. Augustine Ramadhan, the former high ranking member of the People's Armed Forces, NEC Chair, and the Chief Justice of the Supreme Court of the People of Tanzania; kuliko magwiji wengine lukuki waliokuwa wamejazana kwenye Tume ya Warioba. Jengeni hoja mueleweke kama Kamanda Lissu alivyofanya na sio kupayuka kama wendawazimu.

Nilistuka sana kusikia eti Nape Nnauye, W. J. Malecela, na Madabida eti wanazunguka huko na huko "kumjibu" Warioba na timu yake iliyojaa vichwa! Are we serious? Kafulila aliuliza Bungeni, hivi Warioba ni binadamu wa kutukanwa nchi hii? Hata kama alifanya makosa anapaswa kukosolewa kwa staha sio kwa matusi ya dhahiri au ya kificho. Kama kweli ni waungwana, CCM wanapaswa kumwomba msamaha Mzee Warioba na watanzania kwa ujumla.

Nakala: Pasco, Chris Lukosi, et. al.
 
Naomba watu waache kuingia katika propaganda za CCM za kutumia 'wengi na wachache'' Huu ni uopotoshaji mkubwa. Shamsi Nahodha hana 2/3 katika kamati yake, anapata wapi wengi na wachache

Mkuu hata mimi nimetatizwa na matumizi haya ya matamshi hayo ya kibaguzi ambayo madhara yake huko mbeleni naamini yataonekana...

Kwa lugha nyepesi huu ni mpasuko wa kujitakia
 
Wachache wanazo hoja nzito na zenye mantiki kuliko wengi ambao wanatetea kupotea kwa ccm na kurudi kwa tanu tanganyika na asp- zanzibar endapo mfumo wa serikali tatu utapita.
Maana walifanya.branda kuunganosha vyama bila ya kufanya prediction ya baadaye.
Ukweli utawala japo watajaribu kukinga kwa kutumia hoja mfilisi nyuma ya pazia la chama.
 
Nimeisoma hotuba ya Mh.Tindu Lissu kwa umakini mkubwa ,kwangu mimi nimewahi kuandika wajumbe wa katiba wanazungumzia serikali mbili na tatu bila kuhoji uhalali wa Wazanzibar kuwa na haki zote Tanganyika wakati Watnganyika hawana haki hizo Zanzibar, Mh. Lissu ameweka wazi jinsi gani Watanganyika wasivyo na haki huko Zanzibar. kwa hili naungana naye. "TUNASEMA TENA HAKUNA KISINGIZIO CHA UDOGO WA ARDHI YA ZANZIBAR NDIO IWE KIGEZO KWA WATANGANYIKA KUNYIMWA ARDHI NA KUWA NA AJIRA ZA MASHARTI KAMA WAGENI. TUNATAKA FURSA KWA WOTE WAO WAKIJA KWETU WAFANYE WANALOTAKA NA SISI TUKIENDA HUKO TUFANYE TUNALO TAKA OTHERWISE MUUNGANO UFUTWE" huko hata mfanye serikali mia tunataka majibu ya hayo ,msifanye Tanganyika shamba la bibi kwa hili no no no no no no, tunataka katikba itakayowabana wageni wote si hao Wapemba tu,warundi,wanyaruanda,wachina,wahindi,waarabu,wasomali na hata wazungu. msipoteze muda kuwajadili hao jamaa tunataka Tanganyika yenye mamlalaka kamili Wazanzibar wakija waingie kwa passport kama wao wanavyodai watanganyika waingie kwa pasi huko
 
Kumuelewa mtu aliyebobea katika weledi inamhitaji mtu mwingine mwenye ueledi...

Sina uhakika kama watetezi wa serikali moja ama mbili ama muungano wa sasa watakuwa na ueledi wa kutosha kuuelewa waraka huu...
 
Kweli kabisa kule zanzibar sukari sh 1200 kilo huku bara 2000.cement sh 7000 mfuko huku 14000.
 
Tanzania bara imefanya mambo mengi ya muungano huku ikisahau kufanya masuala yenye upekee wa Tanganyika
Hii imewapa bafasi Wazanzibari kufanya mambo yao binafsi na wakati mwingine hayana viashiria vizuri
 
inakuweje ushuru zbar uwe rahisi huku bara uwe juu,muungano gani huu
 
Tuna taka haki sawa vinginevyo kila nchi ibebe msalaba wake.
 
Inatisha, waliozoea vya kunyonga kwa kuchinja hawaviwezi: Field Marshall John Okello having taken control of both islands which by then had a population of 300,000 people, Okello created a Revolutionary Council and invited Sheik Abeid Karume back to the island to assume the title of Presidency. Other Zanzibaris in foreign territory were also invited back, most notably the Marxist politician the late Abdulrahman Babu to assume the position of a Prime Minister. Both Karume and Babu had not been informed of the coup as they were residing in Tanganyika for fear of their safety following the quarrel they had with the Sultanate government, but returned to Zanzibar, where they were welcomed by Okello. However, neither Karume nor Babu wanted anything to do with him. John Okello reserved for himself the title of "Field Marshal", a position with undefined power. What followed was a three month long internal struggle for power.

On his arrival in Zanzibar on a Tanganyikan government plane, Karume was taken to the broadcasting station and Okello introduced him as President of the People’s Republic of Zanzibar. After a brief introduction to the general public, Mr Karume addressed the nation by saying:

“I am pleased and delighted to have this opportunity of speaking to you publicly in our newly freed island. As President of the Republic, I promise to serve you faithfully and to the full extent of your needs. The government we are going to construct will be the opposite of that which we have suffered under before. I am glad to say that under the wise leadership of Field Marshal John Okello we have reached a goal which we alone could not achieve. I appeal to you all to serve the new regime faithfully and honestly. I must express my thanks” Karume went on, “to the freedom fighters through whose efforts I have become President, and to Field Marshal Okello, whose fruitful leadership was accepted by you. My being President now, is due entirely to your strength and energy, you have struggled and suffered and died, but you have achieved a remarkable victory. I want all of us to work in unity and to obey Field Marshal Okello as any other person born on this Island without any form of discrimination. Without his wisdom and courage, none of us would be where we are at the present. Field Marshal Okello’s activities clearly shows that he is a man born with African liberation in his heart, and we of this Island are actually to have had him achieve our freedom so quickly”.

Source: KNOWLEDGE MATTERS: Do you know who was the mastermind of the Zanzibar Revolution of January 1964?
 
Tanzania bara imefanya mambo mengi ya muungano huku ikisahau kufanya masuala yenye upekee wa Tanganyika
Hii imewapa bafasi Wazanzibari kufanya mambo yao binafsi na wakati mwingine hayana viashiria vizuri

tanzania bara ndio kitu gani mkuu
 
mkuu shukrani,nimemsikia live ila hawa tbc maanina zao kabisa!
 
Kweli kabisa kule zanzibar sukari sh 1200 kilo huku bara 2000.cement sh 7000 mfuko huku 14000.

Wao wanawajali watu wao ushuru wa zanzibar ni mdogo kwa vitu vyote lazima viwe chini cement znz wanategemeya ya nche sio ya ndani ndio mana ukishusha mzigo znz ukileta huku lazima ulipie tena ushuru kama umetoka. Nchi ya mbali sio jamuhuri moja
 
Back
Top Bottom