Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,648
- 2,706
Tumeona kazi nzuri aliyoifanya Mh Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
✓alikuta Watumishi hawajapanda madaraja kwa kipindi kirefu akawapandisha wote
✓alikuta boom vyuoni elfu 7 akapandisha kuwa elfu 10
✓alikuta CT scan inapatikana Mhimbili tu lakini Sasa hata rukwa ipo
✓alikuta Watumishi wamesahau nyongeza ya Sasa nyongeza kila mwaka
✓alikuta mazingira magumu ya biashara Sasa biashara inafanywa kwa uhuru bila vurugu za tra
✓alikuta kima Cha chini Cha mshahara laki 2.5 Sasa ni laki. 5
✓alikuta mtaala wa Elimu wa zamani Sasa mtaala mpya
✓ni mengi sana ngoja nisiwachoshe.
NB: OCTOBER TUNATIKI KWA MH RAIS DR SAMIA SULUHU HASSAN.
Tunawaomba wajumbe watuchagulie wabunge wazuri ili wote tuwapitishe kwa kishindo.
TUNAIMANI SANA NA DR. SAMIA SULUHU HASSAN, TUNAIMANI SANA CCM