Maoni ya Wakenya Twitter juu ya picha ya Kenyatta akifanya mazoezi ya Kung Fu

Maoni ya Wakenya Twitter juu ya picha ya Kenyatta akifanya mazoezi ya Kung Fu

Uzuri hutaskia watu wasiojulikana wamesababisha Mkenya kutoweka kisa maoni.
Tatizo la wakenya wengi wanaishi kwenye slums na hawana mashamba,vuwanja wala chochote cha kupoteza ndio maana inakuwa vigumu kuwatishia watu wasiojulikana
 
Hii nayo mpya
Capture%2B_2019-12-18-22-53-11.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahaaaa!!
Kubaguana katika misingi ya ya vyama hayaepukiki tanzania..

Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe moyo mzee ila kwetu mchadema na mccm wanakula sahan moja kipindi cha uchaguz tu ndio kuna mihemko baaas ila ww mkikuyu ni vigumu kumuajiri mkisii na sidhan ht kula naye sahani moja waweza.ASA sijui WAP afadhali

Sai hapa nilipo niko na mkamba, mkikikuyu na mjaluo na wa mijikenda na tunakula bata la size yake tu...au unamaanisha kenya ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sai hapa nilipo niko na mkamba, mkikikuyu na mjaluo na wa mijikenda na tunakula bata la size yake tu...au unamaanisha kenya ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza wakaribisha hao home kwako at the first na ukaishi nao km blood related ones??serikalini kwenu walioajiriwa wengi ni kabila gan ama wengi walioshika nyadhifa za juu huko ktk serikali yenu ni kabila gan?naomba jibu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majirani kwa utani hawajambo
Hata kwa vichekesho nawakubali ila kwa mengine hapana

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Unaweza wakaribisha hao home kwako at the first na ukaishi nao km blood related ones??serikalini kwenu walioajiriwa wengi ni kabila gan ama wengi walioshika nyadhifa za juu huko ktk serikali yenu ni kabila gan?naomba jibu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niishi nao kinamna gani na wakati kila mtu ana kwake...usi force vitu bana...

Mkuu wa jeshi mgiriama
Mkuu wa polisi mkamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom