GE2025 Maoni ya Wananchi: Wagombea, toeni ahadi zinazotekelezeka

GE2025 Maoni ya Wananchi: Wagombea, toeni ahadi zinazotekelezeka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Ni sawa na kusema Wagombea sasa washindwe wenyewe! hi ni baada ya wananchi kutoa ushauri kwao kuelekea kipindi cha kampeni.

Wakizungumza ndani ya kipindi cha Kijiweni cha Daily News Digital wananchi hao wamewataka wagombea wanaoomba nafasi kwa miaka mitano ijayo kutoa ahadi wanazoweza kutimiza ila kujiepushia mzigo mkubwa huko mbeleni.

 
Ahadi ipi wakati wajumbe wamegawa mlungula!!subiri huduma mbovu nk
 
Back
Top Bottom