afrique
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 509
- 135
mimi ni mdada,nina mwili laini sana na ngozi yangu ni laini pia,sikuwahi kuona kama ni ajabu ila kuna watu waliniona niko tofauti na wengine waknishauri nikamwone daktari sababu wanahisi nitakuwa na upungufu fulani.Mimi zaidi sana huwa tu napenda kuota jua sana nipatapo nafasi hiyo,otherwise sijawahi kupata tatizo lolote la ngozi.waaalam maoni yenu tafadhali, je!nitakuwa na tatizo lolote au ni kawaida!