maoni ya wataalam wa ngoyi yanahitajika

maoni ya wataalam wa ngoyi yanahitajika

afrique

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
509
Reaction score
135
mimi ni mdada,nina mwili laini sana na ngozi yangu ni laini pia,sikuwahi kuona kama ni ajabu ila kuna watu waliniona niko tofauti na wengine waknishauri nikamwone daktari sababu wanahisi nitakuwa na upungufu fulani.Mimi zaidi sana huwa tu napenda kuota jua sana nipatapo nafasi hiyo,otherwise sijawahi kupata tatizo lolote la ngozi.waaalam maoni yenu tafadhali, je!nitakuwa na tatizo lolote au ni kawaida!
 
Kama wewe unasema uko normal sidhani kama in a shida lakini kama kuna shida inabidi ukamwone daktari hapautadanganywa tu.
 
Back
Top Bottom