Maoni ya watanzania dhidi ya STARS leo

Maoni ya watanzania dhidi ya STARS leo

Fakyuol

Senior Member
Joined
Nov 26, 2023
Posts
148
Reaction score
325
Ni saa moja sasa na dakika zake......zimesalia kuelekea mchezo

Muhimu kwa timu yetu ya taifa..dhidi ya congo!!!!


Tutarajie nini kutoka kwa stars???

Yapi maoni yako juu ya mchezo wa leo??

Upi utabili wako??
 
Back
Top Bottom