Fakyuol Senior Member Joined Nov 26, 2023 Posts 148 Reaction score 325 Jan 24, 2024 #1 Ni saa moja sasa na dakika zake......zimesalia kuelekea mchezo Muhimu kwa timu yetu ya taifa..dhidi ya congo!!!! Tutarajie nini kutoka kwa stars??? Yapi maoni yako juu ya mchezo wa leo?? Upi utabili wako??
Ni saa moja sasa na dakika zake......zimesalia kuelekea mchezo Muhimu kwa timu yetu ya taifa..dhidi ya congo!!!! Tutarajie nini kutoka kwa stars??? Yapi maoni yako juu ya mchezo wa leo?? Upi utabili wako??
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Jan 24, 2024 #2 Nsikilizeni Tanzania tunashinda