Maoni ya Zitto kuhusu hali ya shirika la Ndege la Tanzania(ATCL) kulingana na ripoti ya CAG

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Shirika la Ndege Air Tanzania limejitahidi kupunguza hasara kutoka TZS 15b mwaka 2017 mpaka TZS 10b mwaka 2018. Hata hivyo Shirika la ATCL kiuhalisia limefilisika kwani Madeni yake yamezidi Mali zake kwa TZS 177b mwaka 2018 kutoka TZS 173b mwaka 2017.

Chanzo: CAG Audit Report

ENwMpw8XUAA630W.jpg

ENwMpxDXUAAWgi-.jpg

Chanzo: Twitter
 
Wee kalia ATCL imefilisika wakati ndege zinaongezela hadi 11. Vyovyote vile ATCL ni mali ya umma na serikali itaendelea kulifufua kwa hela za umma!
 
Mambo ya serikali aiachie serikali yenyewe. Kwani ye mbona ubunge wake umekuwa wa hasara tu toka magufuli aingie na bado ameukomalia. Ni kwa sababu anaamini utakuja kumlipa tena kama ulivyomlipa kipindi jk yupo madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shirika la Ndege Air Tanzania limejitahidi kupunguza hasara kutoka TZS 15b mwaka 2017 mpaka TZS 10b mwaka 2018. Hata hivyo Shirika la ATCL kiuhalisia limefilisika kwani Madeni yake yamezidi Mali zake kwa TZS 177b mwaka 2018 kutoka TZS 173b mwaka 2017.

Chanzo: CAG Audit Report

ENwMpw8XUAA630W.jpg

ENwMpxDXUAAWgi-.jpg

Chanzo: Twitter
Hapa tusidanganyane, siyo rahisi kwa ATCL kujiendesha kwa faida. Hito ni fedha tumetumbukiza baharini. Katika eneo hili la Afrika ni Ethiopian Airlines tu ndiyo angalao inaripori faida. SAA na Kenya Airways yako kwenye hali tete.
 
Shirika la Ndege Air Tanzania limejitahidi kupunguza hasara kutoka TZS 15b mwaka 2017 mpaka TZS 10b mwaka 2018. Hata hivyo Shirika la ATCL kiuhalisia limefilisika kwani Madeni yake yamezidi Mali zake kwa TZS 177b mwaka 2018 kutoka TZS 173b mwaka 2017.

Chanzo: CAG Audit Report

ENwMpw8XUAA630W.jpg

ENwMpxDXUAAWgi-.jpg

Chanzo: Twitter
Hii njemba pasua kichwa! Mabeberu wameishaibrain wash na amebaki makapi! Ajui analoongea!
 
Hivi nyie vibaraka wa mabeberu mbona mnawashwa sana na maendekeo ya ATCL? Kama serikali sio kila jambo inalolifanya ni biashara yenye faida ya moja kwa moja! ATCL kwa upande mwingine imefufua utendaji kazi wa shughurj za serikali na umma kwa ujumla kwa kuwepo usafiri wa uhakika tena imeboresha usafiri kwa watalii na kuongeza vipato katika sekita za utalii na uwekezaji. Hayo yoote ukitafuta thamani yake kifedha ni mapato.
 
Anaingiaga humo kutafuta kasoro apate cha kusema. Kipindi kile aliangalia manufavturing date ya kioo akasema ndege sio mpya. Alidhani siku inapotengenezwa ndege na kioo kinazalishwa siku hiyo hiyo, injini, bati, viti, redio, usukani na kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto sijui kachanganyikiwa! Mabeberu wanamlipa kwa kila posti ya kuitukanisha serikali! Mapandikizi kama haya ya mabeberu ndo yalitumika kuangusha serikali nchini Libya na Tunisia. Ni kukaa nao chonjo!
 
Hivi nyie vibaraka wa mabeberu mbona mnawashwa sana na maendekeo ya ATCL? Kama serikali sio kila jambo inalolifanya ni biashara yenye faida ya moja kwa moja! ATCL kwa upande mwingine imefufua utendaji kazi wa shughurj za serikali na umma kwa ujumla kwa kuwepo usafiri wa uhakika tena imeboresha usafiri kwa watalii na kuongeza vipato katika sekita za utalii na uwekezaji. Hayo yoote ukitafuta thamani yake kifedha ni mapato.
Mabeberu ni nani? Hivi mnapoomba hela ya WB mnawaomba akina nani? Wanaotoa misaada ya dawa za ukimwi , malaria na chanjo kwa Tanzania ni nani?

Hii lugha ya kuita Mabeberu ni uvivu wa kufikiri. Sijui akılı zenu huwa mnazitoa kwanza??
 
Zitto sijui kachanganyikiwa! Mabeberu wanamlipa kwa kila posti ya kuitukanisha serikali! Mapandikizi kama haya ya mabeberu ndo yalitumika kuangusha serikali nchini Libya na Tunisia. Ni kukaa nao chonjo!
Zito kasema ukweli na hauna uhusiano na wazungu ambao CCM mkienda kuomba misaada mnawaita wafadhili, lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga wa Serikali ya CCM mnakimbilia kuwaita mabeberu, Hakuna Mzungu kamlipa Zito labda kuna Mzungu kakulipa wewe umsingizie Zito Uongo.
 
Mabeberu ni nani? Hivi mnapoomba hela ya WB mnawaomba akina nani? Wanaotoa misaada ya dawa za ukimwi , malaria na chanjo kwa Tanzania ni nani?

Hii lugha ya kuita Mabeberu ni uvivu wa kufikiri. Sijui akılı zenu huwa mnazitoa kwanza??
Watetezi wa CCM mitandaoni wengi wapo ghetto kwa Le mutuz na cyprian Musiba ni vilaza wajinga wajinga watupu wamekariri neno Mabeberu kwa kutojua hata maana yake, wamesahau kuwa watanzania siyo wajinga wanajua kuwa CCM huwaita wazungu ni wafadhili pindi wakienda kutembeza bakuri kuomba omba, lakini hao hao wazungu wakihoji ujinga uonevu ufisadi wa CCM hubadlishwa jina na kuwaita Mabeberu.
 
Back
Top Bottom