minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Acha ubwege wewe ndiyo kibaraka wa kukumbatia wizi ufisadi wa CCM kudhoofisha mashirika ya umma kwa kisingizio cha kufufua shirika, wewe ndiyo unawashwa kwa kutetea ujinga wa CCM, acha kutetea ujinga inuka sema ukweli ili CCM wazinduke wafanye mapinduzi sahihiHivi nyie vibaraka wa mabeberu mbona mnawashwa sana na maendekeo ya ATCL? Kama serikali sio kila jambo inalolifanya ni biashara yenye faida ya moja kwa moja! ATCL kwa upande mwingine imefufua utendaji kazi wa shughurj za serikali na umma kwa ujumla kwa kuwepo usafiri wa uhakika tena imeboresha usafiri kwa watalii na kuongeza vipato katika sekita za utalii na uwekezaji. Hayo yoote ukitafuta thamani yake kifedha ni mapato.