Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hivi TTCL wana ndege ngapi sasa hivi?Wee kalia TTCL imefilisika wakati ndege zinaongezela hadi 11. Vyovyote vile ATCL ni mali ya umma na serikali itaendelea kulifufua kwa hela za umma!
ATCL haina ndege kwa sasa ila inakodi ndege hizo toka serekalini .
Anaingiaga humo kutafuta kasoro apate cha kusema. Kipindi kile aliangalia manufavturing date ya kioo akasema ndege sio mpya. Alidhani siku inapotengenezwa ndege na kioo kinazalishwa siku hiyo hiyo, injini, bati, viti, redio, usukani na kila kitu.
Hapa tusidanganyane, siyo rahisi kwa ATCL kujiendesha kwa faida. Hito ni fedha tumetumbukiza baharini. Katika eneo hili la Afrika ni Ethiopian Airlines tu ndiyo angalao inaripori faida. SAA na Kenya Airways yako kwenye hali tete.Shirika la Ndege Air Tanzania limejitahidi kupunguza hasara kutoka TZS 15b mwaka 2017 mpaka TZS 10b mwaka 2018. Hata hivyo Shirika la ATCL kiuhalisia limefilisika kwani Madeni yake yamezidi Mali zake kwa TZS 177b mwaka 2018 kutoka TZS 173b mwaka 2017.
Chanzo: CAG Audit Report
Chanzo: Twitter
Hii njemba pasua kichwa! Mabeberu wameishaibrain wash na amebaki makapi! Ajui analoongea!Shirika la Ndege Air Tanzania limejitahidi kupunguza hasara kutoka TZS 15b mwaka 2017 mpaka TZS 10b mwaka 2018. Hata hivyo Shirika la ATCL kiuhalisia limefilisika kwani Madeni yake yamezidi Mali zake kwa TZS 177b mwaka 2018 kutoka TZS 173b mwaka 2017.
Chanzo: CAG Audit Report
Chanzo: Twitter
Zitto sijui kachanganyikiwa! Mabeberu wanamlipa kwa kila posti ya kuitukanisha serikali! Mapandikizi kama haya ya mabeberu ndo yalitumika kuangusha serikali nchini Libya na Tunisia. Ni kukaa nao chonjo!Anaingiaga humo kutafuta kasoro apate cha kusema. Kipindi kile aliangalia manufavturing date ya kioo akasema ndege sio mpya. Alidhani siku inapotengenezwa ndege na kioo kinazalishwa siku hiyo hiyo, injini, bati, viti, redio, usukani na kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu ni nani? Hivi mnapoomba hela ya WB mnawaomba akina nani? Wanaotoa misaada ya dawa za ukimwi , malaria na chanjo kwa Tanzania ni nani?Hivi nyie vibaraka wa mabeberu mbona mnawashwa sana na maendekeo ya ATCL? Kama serikali sio kila jambo inalolifanya ni biashara yenye faida ya moja kwa moja! ATCL kwa upande mwingine imefufua utendaji kazi wa shughurj za serikali na umma kwa ujumla kwa kuwepo usafiri wa uhakika tena imeboresha usafiri kwa watalii na kuongeza vipato katika sekita za utalii na uwekezaji. Hayo yoote ukitafuta thamani yake kifedha ni mapato.
Zito kasema ukweli na hauna uhusiano na wazungu ambao CCM mkienda kuomba misaada mnawaita wafadhili, lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga wa Serikali ya CCM mnakimbilia kuwaita mabeberu, Hakuna Mzungu kamlipa Zito labda kuna Mzungu kakulipa wewe umsingizie Zito Uongo.Zitto sijui kachanganyikiwa! Mabeberu wanamlipa kwa kila posti ya kuitukanisha serikali! Mapandikizi kama haya ya mabeberu ndo yalitumika kuangusha serikali nchini Libya na Tunisia. Ni kukaa nao chonjo!
Watetezi wa CCM mitandaoni wengi wapo ghetto kwa Le mutuz na cyprian Musiba ni vilaza wajinga wajinga watupu wamekariri neno Mabeberu kwa kutojua hata maana yake, wamesahau kuwa watanzania siyo wajinga wanajua kuwa CCM huwaita wazungu ni wafadhili pindi wakienda kutembeza bakuri kuomba omba, lakini hao hao wazungu wakihoji ujinga uonevu ufisadi wa CCM hubadlishwa jina na kuwaita Mabeberu.Mabeberu ni nani? Hivi mnapoomba hela ya WB mnawaomba akina nani? Wanaotoa misaada ya dawa za ukimwi , malaria na chanjo kwa Tanzania ni nani?
Hii lugha ya kuita Mabeberu ni uvivu wa kufikiri. Sijui akılı zenu huwa mnazitoa kwanza??