Maoni ya Zitto kuhusu hali ya shirika la Ndege la Tanzania(ATCL) kulingana na ripoti ya CAG

Acha ubwege wewe ndiyo kibaraka wa kukumbatia wizi ufisadi wa CCM kudhoofisha mashirika ya umma kwa kisingizio cha kufufua shirika, wewe ndiyo unawashwa kwa kutetea ujinga wa CCM, acha kutetea ujinga inuka sema ukweli ili CCM wazinduke wafanye mapinduzi sahihi
 
Hii njemba pasua kichwa! Mabeberu wameishaibrain wash na amebaki makapi! Ajui analoongea!
CCM mkienda kuomba omba misaada mnawaita wazungu ni wafadhili, lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga wenu mnakimbilia kuwaita mabeberu, acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
 
Acha ujinga wako wewe, kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali, usimpangie cha kuikosoa Serikali acha wapinzani wafanye kazi yao.
 
ATCL wanaingiza buku wanakula buku kumi, wana kula vingi kuliko wanachokiingiza
 
Reactions: BAK
Ni hasara kubwa sana Mkuu na yesu wa lugola bado anawamwagia ruzuku za mabilioni akidhani hali itabadilika. Alikurupuka kununua ndege sasa INAKULA KWA Watanzania.

ATCL wanaingiza buku wanakula buku kumi, wana kula vingi kuliko wanachokiingiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…