Maoni yako kuhusu komando Ruby kurekodi anti virus vol 3?

Maoni yako kuhusu komando Ruby kurekodi anti virus vol 3?

Hasira alizonazo Rubby kwa clouds si bure lazima kuna jambo, kama si bwana harusi mtarajiwa alilazimisha kumfunua itakuwa namna nyingine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muhaya yule ni nyokoo
 
Japo sijui upande wa pili lakini amekosa kitu muhimu sana ambacho ni loyalty.
 
basi tu watafanyeje kwa watoto wakike bila kuliwa papuche kwa sana hawapati mtonyo
 
Hivi ruby nini kimemsibu mpaka kawa hivo,,,maana hata ya moto band hakushoot nao
 
Hivi bongo kuna ukubwa gani hadi hhyo habari tuipate kwa Msagasumu tuu
 
Ataweza?maana wale Mawingu wakiamua upotee utapotea tu.
 
na kalamba vipara vya wangap mawingu maana brown kapita naye sijui nan mwngne
Kwa mwanamke kulambwa sio kesi
Maana nazi lazima ikunwe kisha ikamuliwe
Shushushu vipi hujambo lakini
Hapa issue ni masilahi sio kukunwa
 
Kafanya la maana
Tunahitaji wasanii wengi kama yeye
 
Back
Top Bottom