Kwani unapokwenda clinic wanakwambiaje mkuu"""Wiki 21
nimekumbuka sehem moja inaitwa' Labor'!ajiandaeAsante..... Na kweli ni ya kwanza.
Sawasawa kama mtto anacheza chini ya kitovu kuelekea kwenye nyonga huyo muda si mrefu ataijifunguaNdo anatarajia kurudi wiki ijayo