Maoni yako msaada kwa mhusika

Maoni yako msaada kwa mhusika

Ruqaiyah

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
1,118
Reaction score
1,483
Habarini za jioni wapendwa......poleni na mihangaiko...... Naombeni kujuzwa kwa wale wazoefu na madaktari.

Kwa mama mjamzito... Mtoto anapokua anacheza tumboni..... Huchezea maeneo yapi?? Nikimaanisha juu ya kitovu , chini ya kitovu au maeneo karibu na kitovu...

Muhusika mtoto wake anachezea chini ya kitovu .... Na mtoto alianza kujisogeza tumboni ikiwa ni wiki ya 14...kwa sasa ni wiki ya 21...

Je ni hali ya kawaida mtoto kuchezea chini ya kitovu maeneo yanayokaribia na nyonga??

Maoni yako ni msaada kwa muhusika........ Asanteni na jioni njema[emoji4]
 
ni sahihi anapocheza !asiwe na hofu !au yeye alitaka achezee wapi? yaan hapa chini kunakuwa na movements kweli kweli !kama ni ya kwanza utahis km anatekenya !
kila la heri
 
Hiyo ni hali ya kawaida ila vizuri clinica wakitoa majibu
 
ni sahihi anapocheza !asiwe na hofu !au yeye alitaka achezee wapi? yaan hapa chini kunakuwa na movements kweli kweli !kama ni ya kwanza utahis km anatekenya !
kila la heri
Asante..... Na kweli ni ya kwanza.
 
kWA HIYO MOVEMENTS NI UHAI WA MTOTO NA UNASAIDIWA NA NA LIQUOR ULIYOMO KWENYE MFUKO
 
Kitaalamu ni sawa kabisa, mtoto kucheza ni dalili kuwa kichanga ki-HAI na kucheza chini ya kitovu ni dalili tosha kuwa mtoto anafanya mijongeo mubashara (Anajigeuza), asiwe na hofu na Amtukuze Mungu wake.
 
Back
Top Bottom