Yeah,tena sana...
Kuna muda unajua kweli kuaminiwa ni kitu bora zaidi....kuna MTU mmoja ofosini hatuivani kabisa...lakini ikifikia hatua ya kuchagua nani wa kutunza kitu au fedha yeye ndiyo wa kwanza kunitaja..."apewe To yeye" ...na kwa sababu walimu wenzangu wanajua mi nae ni paka na panya afu kanitag bas wote wanaamini😂😂😂
Nami nikala hela zote😏