Maoni yako

Maoni yako

LUGWA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
961
Reaction score
472
Yakhe
FB_IMG_1698989082374.jpg
 
Yeah,tena sana...
Kuna muda unajua kweli kuaminiwa ni kitu bora zaidi....kuna MTU mmoja ofosini hatuivani kabisa...lakini ikifikia hatua ya kuchagua nani wa kutunza kitu au fedha yeye ndiyo wa kwanza kunitaja..."apewe To yeye" ...na kwa sababu walimu wenzangu wanajua mi nae ni paka na panya afu kanitag bas wote wanaamini😂😂😂

Nami nikala hela zote😏
 
Kuaminiwa ni zaidi ya kupendwa, mtu anaweza kukupenda tu Awe karibu na wewe kwasababu huenda unamfanya apate furaha au amani ya moyo na utulivu wa akili.
Ila likija swala la kukuamini ni swala lingine gumu kidogo.
Naamini utampenda ila huwezi muamini mtu kama Mr bean.
 
Back
Top Bottom