Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Actually ni tatizo kubwa, mtu ana miaka 40+ lakini hakui, anagombania Uteeneger na wanae.
Kibaya zaidi anajifunika kwenye Mwamvuli wa ulokole, ukiangalia Mienendo yake na Ulokole anaojipambanua nao ni vitu viwili tofauti. Matendo yana ishara na Ukakasi wa kuwepo Ushetani wa kutisha.
Kurasa zake za mitandaoni ni Makwazo na kichefuchefu kitupu kwa watu wa Mungu wanaojielewa, Mungu aendelee kutusamehe.
Huko kwenye Gospel ndiyo Mkanganyiko Mtupu, anachokiimba hakieleweki ni ilimradi tu kufunika mauzauza yake na kivuli cha ulokole.
Tumuogope Mungu jamani, Pole sana Flora Mbasha ulibeba Mzigo mzito wa Misumari ya Moto, ulimsetiri kwa Mengi sana kama kipindi unaishi nae hali ilikuwa mbaya hivi.
Tumuogope Mungu jamani.