Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Hapa utaeleweka na waliosoma na wasio soma. Kiswahili ni lugha yetu.tuipende...Nionavyo haya malalamiko yana msingi ya kuwa upo mtandao unaowahusisha watumishi wasio waaminifu wa TRA na wafanyabiashara kukwepa kodi.
Kama mzigo wa huyu mlalamikaji usingepata mushkeli wa ajali na hivyo bima kuhitajika kumfidia mwaathirika hapangekuwepo na barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais.
Majibu ya TRA hayaridhishi na makanusho yao yanalenga kufukia uozo uliomo humo.
Mlalamikaji sasa ana kiu ya kulipa kodi kwa sababu alikwepa kodi na analijua hilo na TRA wanalijua hilo na mtandao unaotukosesha mapato wanaujua sasa swali la kujiuliza kwanini hawachukui hatua ya kuuripoti kwenye vyombo husika?
Mlalamikaji anataka alipe kodi ya TSHS 400 Mill ili apate makabrasha halali akalipwe bima ya ajali.
Hasemi yuko tayari na kulipa faini kwa sababu bima haitamfidia faini.
Huo ndiyo ukweli wake
Shukrani ila kuna mahala inabidi tuchomekee kidogo umombo π π π π π€£ π π πHapa utaeleweka na waliosoma na wasio soma. Kiswahili ni lugha yetu.tuipende...
Na ingekuwa binadamu ndiye anayetoa mkate wa kila siku (riziki)....sijui ingekuwaje...Mnaosema maoni ya wenzenu ni ya kishenzi kumbukeni sote tumeumbwa na Mungu mmoja
Sio mbaya.usiwe kama wale jamaaShukrani ila kuna mahala inabidi tuchomekee kidogo umombo π π π π π€£ π π π
Amen π
mpaka saizi usingekua umepata chaiNa ingekuwa binadamu ndiye anayetoa mkate wa kila siku (riziki)....sijui ingekuwaje...
Naomba kuuliza hivi... hivi walitumia kigezo gani kusema kipato cha chini mishahara iwe 400000 kwenye makampuni ikiwa hiyo 4k ni posho kwa mfanyakazi mwenzio? yaani total mm mshahara 5k mwenzangu analipwa us$1700 kwa mwezi na posho ya 5k hii kwangu ni uonevu kwa wazawa sijaipenda kabisa .ukiangalia mzawa ndiye anayefanya kazi kubwaHivyo, msidharau maoni na muendelee kuhimiza huu ushauri wa bwerere mtafika mbali lakini mkiukataa mjue hamuendi mbali
Wengi humu tungelala njaaNa ingekuwa binadamu ndiye anayetoa mkate wa kila siku (riziki)....sijui ingekuwaje...
Kabisa π πmpaka saizi usingekua umepata chai
Tatizo kubwa la kujitakia kwenye sera ya wawekezaji imeleta ubaguzi. Ilipaswa iweke wazi ulipaji wa mishahara na posho usiwapunje raia wa nchi hii na atakayekiuka atashitakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi.Naomba kuuliza hivi... hivi walitumia kigezo gani kusema kipato cha chini mishahara iwe 400000 kwenye makampuni ikiwa hiyo 4k ni posho kwa mfanyakazi mwenzio? yaani total mm mshahara 5k mwenzangu analipwa us$1700 kwa mwezi na posho ya 5k hii kwangu ni uonevu kwa wazawa sijaipenda kabisa .ukiangalia mzawa ndiye anayefanya kazi kubwa
Unaweza kuthibitisha kwamba umeumbwa na huyo Mungu?Mnaosema maoni ya wenzenu ni ya kishenzi kumbukeni sote tumeumbwa na Mungu mmoja