dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
ohoo uzi ushageuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masuala ya kiimani ni ya kiimaniUnaweza kuthibitisha kwamba umeumbwa na huyo Mungu?
Uliupiga vita lakini Mungu kausimamiaohoo uzi ushageuka
Kama ni ya kiimani, Usinge yaleta kwenye mjadala huku JF open forum.Masuala ya kiimani ni ya kiimani
shuka kimombo pekee mkuu, tupunguze wachangiajiUliupiga vita lakini Mungu kausimamia
Ambaye hajui kimombo sijui ni nani dunia hii ya utandawazi.ili kiswahili is the best in EA countries.kwa hiyo hii kimombo inasaidia kupunguza wachangiaji??? kwani nikichangia kwa kiswahili ntazuiliwa??shuka kimombo pekee mkuu, tupunguze wachangiaji
jamaa ana kimombo kizuri sana, nilikua najua ni mkenyaAmbaye hajui kimombo sijui ni nani dunia hii ya utandawazi.ili kiswahili is the best in EA countries.kwa hiyo hii kimombo inasaidia kupunguza wachangiaji??? kwani nikichangia kwa kiswahili ntazuiliwa??
Hakuna wa kukuzuia hata mimi kwa mambo ya hapa nyumbani ni Kiswahili tu ila baadhi ya nje ndiyo umomboAmbaye hajui kimombo sijui ni nani dunia hii ya utandawazi.ili kiswahili is the best in EA countries.kwa hiyo hii kimombo inasaidia kupunguza wachangiaji??? kwani nikichangia kwa kiswahili ntazuiliwa??
Umenichekesha mbavu zangu hoi. Wakati ule wa JPM watu wengi machawa wake walijua mimi ni mTZ lakini kwa vile hawakupenda mtu wao nilivyokuwa ninamkazia spana wakanivisha uraia wa Kenya nilibisha hawakukubali.jamaa ana kimombo kizuri sana, nilikua najua ni mkenya
nasomaga sana ule uzi wa "why magufuli administration misses ......."
dictionary yangu ikiwa pembeni